kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,499
Siafu sijui sisimizi wameze tu na wao. Ni dawa ya tumbo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
😀😀!, haunaga Mfano, wallah!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siafu sijui sisimizi wameze tu na wao. Ni dawa ya tumbo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Teh hivi yule rafiki ako wa nanjilinjili sijui njinjo yupo?kui ananisingizia tu, mie rafiki zangu wa namtumbo huko hata USA hawajawahi kuisikia
Aah kwa swagga ndo mnafupisha "vacay", mmh mbona nachanganya na "decay" mweer
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]😀😀!, haunaga Mfano, wallah!
Teh hivi yule rafiki ako wa nanjilinjili sijui njinjo yupo?
Mmmh tutatolewaje ndukiyupo ana pa kwenda sasa!! ngoja paulo atukute kwenye uzi wake!!
Hahaha na daddy angu huyuhuyu wa mwendokasi au? Hivi hapo ofisini kwenu hamuhitaji mfagizi, I'm broke hadi huruma maskiniatoto acha chezea mwanao Heaven Sent
Mwenzetu hana haja hata ya kazi, pocket money ilishawekwa kabla hata hajatambaa. Wakati akina sie hapa have to work hard for our money.
Harusi yake kama si abroad...siijui!
Aah kwa swagga ndo mnafupisha "vacay", mmh mbona nachanganya na "decay" mweer
yupo ana pa kwenda sasa!! ngoja paulo atukute kwenye uzi wake!!
Mmh usimuite huyo ndugu yako. Mtaanza viingereza vyenu afu mtudhalilishe na mama angu hapa.. akhuuuu
Hahaha na daddy angu huyuhuyu wa mwendokasi au? Hivi hapo ofisini kwenu hamuhitaji mfagizi, I'm broke hadi huruma maskini
Hahaha huyo baba mwenyewe anatunzwa na mama. Kafulia hadi hajulikani alipoYea right!, 😀
Sema baba kachelewa kuleta pocket money.
Mmh usimuite huyo ndugu yako. Mtaanza viingereza vyenu afu mtudhalilishe na mama angu hapa.. akhuuuu
Hahaha huyo baba mwenyewe anatunzwa na mama. Kafulia hadi hajulikani alipo
Hahaha huyo baba mwenyewe anatunzwa na mama. Kafulia hadi hajulikani alipo
Teh..Kama nakuona vile..Huo ndo ugonjwa wangu..Wikend hii mi ni wako mzimamzimai love you to the moon and back, plz come back home, i need you honey.
and that long vest is allready in place.
Teh teh..Douta acha kuchungulia wazazi wako..Utapewa laana ujueMweee nimefumba macho jamani
Inabidi tuwe tunaenda kwa hotel aisee..Huyu mtoto balaawe mtoto weeh!! haulali?
Wife ndo anatakiwa kuwa hivi..Ahsante mamito kwa kunisimamiahahahaa! leo anarudi bwana.