kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,499
ofcoz, hizo za kurukiana kama ya Heaven Sent hapana aisee!!
Eti kurukiana! 😀
Mi ndo nasema he has to struggle at least kidogo kufikia thawabu. Akihangaika atathamini matunda.
#say no to number 8#
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ofcoz, hizo za kurukiana kama ya Heaven Sent hapana aisee!!
Huh huh..natetemeka...Hahaha wanadumbukiza tu mwenzangu. Huo ufilipino unakuwepo zaidi huku kwenye urafiki sugu, ikifika kwenye ndoa baada ya miaka mmh, anapita tu shaaaa
(haha kui you bring out the worst in me lol)
Eeeh akufae tena jamani? ??
Keshaugusa mtima wangu, nahisi ndiye nilokuwa nikimgojea miaka yote hii, mruhusu nimpeleke Mwanza, naona ananyota na wasukuma.yaani hapa mahari sifuri zinapukutika tu, nimuondoe mapema kabla haijafikia buku
Hahah...mzaa chemawe mfilipino hebu ondoka kwanza maana hapa nimezimia, huyu mwanangu umemfanyaje?? maana hata siamini majicho yangu.
Kuhangaika tena? angalia maneno yako yasije muharibu Heaven Sent, umeona wapi ulimwenguni Rais akapiga kampeni?Eti kurukiana! 😀
Mi ndo nasema he has to struggle at least kidogo kufikia thawabu. Akihangaika atathamini matunda.
#say no to number 8#
Bro ulishawahiKeshaugusa mtima wangu, nahisi ndiye nilokuwa nikimgojea miaka yote hii, mruhusu nimpeleke Mwanza, naona ananyota na wasukuma.
Kuhangaika tena? angalia maneno yako yasije muharibu Heaven Sent, umeona wapi ulimwenguni Rais akapiga kampeni?
Bro ulishawahi
kupigwa na
wananchi
wenye hasira kali?
Hahah kui nimesema
unafaa sana yaani wewe
umeshaanza kazi mapema
Ila naomba kuondoka[emoji1]
Hahaha...ameshachoka ya kudumbukiziwa tu siku zimekuwa nyingi, wakati we unawekapo tu mkono unasinzia wengine tunalilia nafasi japo tu ya kuongea nae na kushake hands...basi mwambie aje please atoto.Bro ulishawahi
kupigwa na
wananchi
wenye hasira kali?