Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
oooh poor you!! ili upate wa kueleweka wewe kwanza ueleweke, weka mambo sawa na hao unaohisi uliwaumiza then move on, Muombe Mungu kwa dhati utampata aliye stahili yako.
Niliyezaa naye ni mwingine. Huyu nilimpata baada ya kuzinguana na huyo mzazi mwenzangu, si ndio maana nahisi ni bad karma kutoka kwa mama mtoto maana sijapata tena mwanamke wa kueleweka.
My one last move kumrudisha kwangu ni kama imefail kabla hata sijaanza kuitekeleza maana ana jamaa yake wako siriaz wanaoana. Na mimi naona Mungu ameanza kunilegezea kamba kiaina