Ladies, what do you wear in bed?

Ladies, what do you wear in bed?

oooh poor you!! ili upate wa kueleweka wewe kwanza ueleweke, weka mambo sawa na hao unaohisi uliwaumiza then move on, Muombe Mungu kwa dhati utampata aliye stahili yako.

Niliyezaa naye ni mwingine. Huyu nilimpata baada ya kuzinguana na huyo mzazi mwenzangu, si ndio maana nahisi ni bad karma kutoka kwa mama mtoto maana sijapata tena mwanamke wa kueleweka.

My one last move kumrudisha kwangu ni kama imefail kabla hata sijaanza kuitekeleza maana ana jamaa yake wako siriaz wanaoana. Na mimi naona Mungu ameanza kunilegezea kamba kiaina
 
Kiboko yangu. Baada ya harusi yao nilituma zawadi ya tv aliyonirudishia. Atajua mwenyewe kama aliigawa au wanaitumia


We bwana matata sana, yaani hukupata kitu kipya mpaka utoe hiyo kama zawadi.
Kumkumbusha mwenzio ya kale!, au makusudi ya kutaka awe anakumbuka.
 
We bwana matata sana, yaani hukupata kitu kipya mpaka utoe hiyo kama zawadi.
Kumkumbusha mwenzio ya kale!, au makusudi ya kutaka awe anakumbuka.

Nilikuwa namaliza bifu ili chochote kibaya atakachokifanya awe mjinga yeye. Bila shaka wameiweka hata jikoni wanaiangalia
 
Tena njia panda ya mataa, lakini unaonekana wa kusumbua sana wewe..




...ngoja ya kukute. Lusajo ametupa moyo sana tu, huyo dada is a woman with the S on her chest. Kudos to her.
Hahaha yani mtu anakuwa msumbufu hadi kwenye maandishi?

Yule binti Lusajo nashindwa hata kumdefine eti, anafaa sana.[emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
  • Thanks
Reactions: kui
Hivyo eeh, leo kuwa mpole basi utuweke njia kati. Ulimaanisha nini?
Nimeshajichanganya hivi hii thread ni ya vibuti au usiku mnalala na nini? Wewe ni No. 8 Woman au? kui na wewe unalala na truck suit au?
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom