Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
ujumbe wake kwa wazaz wa Lady doctor sidhani kama anawatania
Umeshaikumbuka ile programu...!??
Tufanye juu chini hii harusi iwe ya mfano wa kuigwa. mia
King Mswati hivi huyu atakuwa mke wa ngapi vile???
ujumbe wake kwa wazaz wa Lady doctor sidhani kama anawatania
Wewe tafuta wenzako muunde kamati ya msosi.
Hivi Heaven on earth wewe sio Tomaso kama mimi?
Wewe, Erickb52, Filipo, LiverpoolFC, PakaJimmy, mwaJ Husninyo FP KOKUTONA, Nicas Mtei Polisi ben Polisi KakaJambazi na Kongosho kamati ya vinywaji.