Lady Doctor come zis way.... NDOA NA HARUSI WEEKEND HII.

Lady Doctor come zis way.... NDOA NA HARUSI WEEKEND HII.

sasa kaa tayari kiakili na kimwili. hakikisha unajisomea na kujikumbusha yale yote uliyofundwa. nacho tegemea toka kwako ni upendo, maakuli ya maana, madikodiko ndani ya ile 6 kwa 6, kuliwazwa na kuwa msaidizi wangu wa milele. naamini hutawaonea aibu wakina manoah, Slave, Baba V, warumi, na wote wanakutolea macho kuwambia kwamb sasa upo katika mikono salama ya barafu wa moyo wako, kipenzi cha roho yako figganigga. mia

yaani kuna mtu umemtaja humo nilikuwa nimeanza kumsahau
maana alinisababishia makubwa,siku nyingine usimtaje kipenzi cha roho yangu
 
yaani kuna mtu umemtaja humo nilikuwa nimeanza kumsahau
maana alinisababishia makubwa,siku nyingine usimtaje kipenzi cha roho yangu

hahahahaaaa....!!!. nmemtaja makusudi ili kuona kiwango chako cha uvumilivu. alinituma nimuombee msamaha ndo maana nikakupm. Ukitaka uishi kwa furaha hapa duniani sahau mabaya yote yaliyo pita, rekebisha ulipo kosea na fanya kazi kwa bidii. hapa jf kwa upande mwingine tupo shule kujifunza uvumilivu. pole sana barafu wa moyo wangu. mia
 
Back
Top Bottom