wivu unawasumbua tu hao
usikate tamaa,ziba maskio
baikoko na mkodombwe lazima tuicheze!!
Usikubali kudanganywa, nilishatupa SACCOS kule tangu nilipoanza kukutokea hny.
Wewe, Erickb52, Filipo, LiverpoolFC, PakaJimmy, mwaJ Husninyo FP KOKUTONA, Nicas Mtei Polisi ben Polisi KakaJambazi na Kongosho kamati ya vinywaji.
watajibeba mi ndio huyoo nimeshaingia kwenye mtima wa Arushaone kunichomoa hawatoweza labdanijichomoe mwenyewe nikiamua
hao ukiwaita watanikuta mezani na Lady doctor, mimisa, Heaven on earth na Husninyo. Na wao nitawakaribisha kinywaji....
mwenyekiti usitake nitoe siri ya moyo wangu, mchumba akakimbia buree, ebu niache nikajilie vinono mie
Wee unaona kila siku?? Mamndenyi umemtaliki?