Mambo shem..!
Mwaaah!!! mwaaah!!
Hamna cha mambo hapa. Jibu swali kwanza
Niko bize kidogo na mwenzangu Lady doctor ananitibu, tuonane baadaye kwa maswali na majibu.
Kwanza hata mahari asipeleke Kaizer! Chagua kati ya wafuatao; Dark City Crashwise, Mungi, LiverpoolFC, Mwanyasi, Vin Diesel, Don Mangi, kabanga au Bishanga.
naomba apeleke kaka yangu kabanga, Vin Diesel na Bishanga usiwaamini kabisa
ila mpenz hiyo mahari huwezi kunipa mwenyewe? Maana mkono unaniwasha mwenzio
dada hata akinipa utaipata kamili, najua ni haki yako...
Ha ha ha haaah!! Tafadhali tuombe radhi kabla mizimu ya kwetu haijakasirika....!Afu huyu dingi asikuangalie mara mbili kama unakula waweza kukwamwa na unachokula saa hiyohiyo! Sijui ni kakake na Katavi au Sumba-Wanga?