Lady Doctor come zis way.... NDOA NA HARUSI WEEKEND HII.

Lady Doctor come zis way.... NDOA NA HARUSI WEEKEND HII.


Arushaone hebu sema ukweli kutoka rohoni la sivyo.........!!!!!!!!!![/QUOTE]

Achana naye huyo anajigonga kwangu tu.
 
Last edited by a moderator:
kweli hapa umesema mwaya
hata CHAI CHUNGU alipata kule kule
naona na Baba V kakomalia huko huko inawezekana naye anatafuta

Umemsema mjeda CHAI CHUNGU umenikumbusha mbali sana na mikasa yake! Hivi yuko wapi?
 
Last edited by a moderator:
kwahiyo kwa maneno matam lazima ulegee

Mkuu Excellent kumbuka mwanamke kubembelezwa, kupendwa na maneno matamu ndio mzuka eeh! Afu ulikuwa wapi kamanda? Wewe utakuwa mwenyekiti wa kamati ya muziki.
Taja wajumbe.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Arushaone, mie ndo niko nashika pesa eeh? Nangojea hiyo kazi, vinywaji najua tender anapewa mkurugenzi wa Chit chat pub an restaurant Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom