Lady Doctor come zis way.... NDOA NA HARUSI WEEKEND HII.

Lady Doctor come zis way.... NDOA NA HARUSI WEEKEND HII.

nashukuru pacha, naomba uwe nami begakwabega,
halafu kuna watu wanataka wanichonganishe na Madame B
ili nisimkubalie Arushaone mbona wewe na shemeji Ruttasholwa

Una akili sana wewe!

That's why I love you!!!
 
md4doctor said:
Ha ha ha Lady doctor kumbe wafanya majaribio eeh! Umeshawahi chomwa sindano ya kichwa weye? Arushaone atakusikilizia katika bomba

Wewe ndie daktari wa familia acha maneno makali.
 
Heaven on earth naomba usimuangushe ndugu yangu, achana na akina Kaizer anakudanganya ujue...... Mwendio anamchumba wa kidachi na hivi karibuni atafunganae ndoa



Una akili sana wewe!
 
Yaani mimisa si unaona timbwili lake humu watu wanaparanganyana tu..sasa nikikamata mshiko mimi uyoooo tunakamatana afu tuangalie upepo kama tuzifikishe au tuishie zetu viwanja

Kalaghabaho we!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom