Lady Doctor come zis way.... NDOA NA HARUSI WEEKEND HII.

Lady Doctor come zis way.... NDOA NA HARUSI WEEKEND HII.

Jamani humu kuna mada gani mabomu ya Arusha au vijana wa chadema waliokamatwa kwa ugaidi au kukamatwa kwa Sugu kisa kamwita mizengo kayanza pinda kuwa mpumbavu....anaejua aniambie.
 
Jamani humu kuna mada gani mabomu ya Arusha au vijana wa chadema waliokamatwa kwa ugaidi au kukamatwa kwa Sugu kisa kamwita mizengo kayanza pinda kuwa mpumbavu....anaejua aniambie.
Tunajiandaa kumkabidhi Arushaone jiko..
 
Last edited by a moderator:
ni ghafla my Heaven on earth na hii ni baada ya pacha wangu Passion Lady na Evelyn Salt kuniambia kuwa nimewachosha na waume zao, mchumba kajitokeza ndio huyooooo......

Ila best unaujuzi wa upambaji?


karibu kundini mwa ndoa poa zilizosajiliwa na jf cc! hakikisha cheti kina sahihi ya Baba V na muhuri wa jf cc! muhuri unapatikana ofisini kwa Invisible. ila tuma mtu usiende mwenyewe.............:drama:
karibu kundini kwenye mahaba matamu, mazito na adhimu............ndoa poa jfcc tamujeee............
yani ndoa za humu ni za kwenye raha tuuu.......shida inakuwa assessed kwanza (babe sosoliso usisome hapa pliz)
..................mhhhh bi harusi mtarajiwa ngoja nisiseme sana...............itabidi kuwe na kibarazani party... Arushaone release funds watu tushereheke banaaa
 
Last edited by a moderator:
amu naona unatapatapa kutaka kujua kwa nini naolewa
kwa msaada zaidi waulize Passion Lady na Evelyn Salt watakupa sababu

my dear amu
dhumuni kubwa ni kumkwangu bwan harusi pesa yote
ya madini,kumuacha mtu na pesa zake ni dhambi hata mungu hapendi
akishamkoboa zote ruhusa kudai talaka coz malengo yatakua yametimia!!

 
Last edited by a moderator:
Jamani humu kuna mada gani mabomu ya Arusha au vijana wa chadema waliokamatwa kwa ugaidi au kukamatwa kwa Sugu kisa kamwita pinda kuwa mpumbavu..anaejua aniambie.

Unionea wapi Mzee wa Rula? Nina visa naye!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom