Lady Doctor come zis way.... NDOA NA HARUSI WEEKEND HII.

Lady Doctor come zis way.... NDOA NA HARUSI WEEKEND HII.

hao ukiwaita watanikuta mezani na mimisa, Heaven on earth, MwaJ na Husninyo. Na wao nitawakaribisha kinywaji....

Hao wote endelea nao tu KING MSWATI. Mimi sina shida nao.
 
jamani mwezi wa ramadhani unakaribia Arushaone anamuoa Lady doctor ili akampikie uji na magimbi.
Asprin nitamuachia kesho.
CC:Mpe Kaizer

Afadhali wewe na Passion Lady mwayajua hayo...wengine mboyoyo nyingi!
 
Bora ujiondoe kwenye chama chetu maana wewe ndiye ulikuwa unatuharibia chama la mabachela kwa kujifanya bachela kumbe ni King Mswati......

Hahahaha! Bahati nzuri kwenu UBACHELANI sirudi tena!
 
Back
Top Bottom