hahahaha mimisa hujamwona Mamndenyi apo juu kamwekea mawakili? na amewaita ile timu mahiri kabisa ya mawakili wa humu wakiongozwa na Ruttashobolwa manake naye alimpoka Madame B . Kesi mbichi hii
Kaizer kimenuka apo..sasa iyo ndoa itafungwa? wikend ndo hii
nimegundua kitu kimoja Mamndenyi, wanaojidai kukupa sijui talaka hawawezi bado wanakupenda na huachiki hata kidogo, pili urahisi wa jina nadhani sababu ya kuzoeleka sana kwa wadau....na asili ya jina lenyewe
Mwenzio nipo mkoani nimekatazwa kurudi kwenye hii ziara, so naongeza per diem tu
Kimenuka mazima mimisa ndo maana umeona Lady doctor yupo safarini, mi namvizia Kibaigwa akitokelezea tu namchukua nimlete umfunde kidogo maana wala wewe una uzoefu hapa chit chat tunakaaje, haiwezekana lim-baba lizima kama Arushaone amfuje tu mtoto wa watu, mtu mwenyewe hajui thamani yake ati lol
Nina mawakili lukuki
kama shira nyi mbere kwa mbere meeku oko.