Lady Doctor come zis way.... NDOA NA HARUSI WEEKEND HII.

Lady Doctor come zis way.... NDOA NA HARUSI WEEKEND HII.

Jamani humu kuna mada gani mabomu ya Arusha au vijana wa chadema waliokamatwa kwa ugaidi au kukamatwa kwa Sugu kisa kamwita mizengo kayanza pinda kuwa mpumbavu....anaejua aniambie.

Crashwise I am getting married!!
 
Last edited by a moderator:
Kaizer ninajua kuwa Mamndenyi ni jina gumu
lakini linavyoandikwa nashangaa hata mimi

Kwa sasa nashangalia mitaa ya huku baharini
kumngojea rais wa dunia
haya mengine ni mbwembwe tu

hebu muulize mimisa namshangaa ya Mamndenyi hajayamaliza,, mara kaingia ya upande wa pili hayawezi hata kidogo...umesikia wewe m-baba?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom