Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,567
Sasa hivi unajua mimi na Lady doctor tuko wapi? Au unanitaka nini mimisa?
Mamaa wa SACCOS !
Mbona kama kuna jamaa alikutokea juzi kati au ulimtosa?
Sijipendi kwani
Kamati ya siku 5 kweli hiyo harusi itakuwa sio mchezo!!!!!!
Lady doctor jana tumeshinda woote hata kuniambia hii habari