Lady Doctor come zis way.... NDOA NA HARUSI WEEKEND HII.

Lady Doctor come zis way.... NDOA NA HARUSI WEEKEND HII.

BOSS UNAJUA HII NDOA NI BATILI KWA NINI? Arusha one TULISHA MUWEKEA ZUIO LA KUFUNGA NDOA HUMU HADI HAPO ATAKAPO JUA KUWATUNZA WAKE ZAKE MAANA TUMEVUNJA NDOA ZAKE ZAIDI YA SABA NA SASA TUMECHOKA KUFUNGISHA NDOA ZINAZON MHUSU YEYE.

Na mshauri my shem Lady doctor asubiri hata kaserengeti boy kanaweza kujitokeza hapa akakakwapua hata kabla hakajakaguliwa.

haaa na leo eti kajimaliza zaidi kwa kuweka ushahidi wa jinsi alivompa talaka Mamndenyi, so what u r saying is true huyu apewe zuio kabisa

CC Baba V
 
Last edited by a moderator:
haaa na leo eti kajimaliza zaidi kwa kuweka ushahidi wa jinsi alivompa talaka Mamndenyi, so what u r saying is true huyu apewe zuio kabisa

CC Baba V

We acha talaka yenyewe kwani hata alinipa. Mmmh aseme kama alinipea wapi.
 
Last edited by a moderator:
hebu onana na shemejio kabanga akusaidie kuandika talaka za wakezo wote walionitangulia

Woote nilishatupa kule. Walikuwa wanakupiga mkwara tu wajue msimamo wako na walikuwa wanamtuma mimisa na Kaizer. Mzm hny?
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaa unalo. Mpaka useme poo. Hivi hivi patachimbika.

Unapaswa kurudi kitandani Mamndenyi si unajua leo hakuna ofisi inafunguliwa? Chezeiya Obama wewe? Unacheyeiya msafara? Afu tuache tupumuwe!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom