ladyfurahia na kuitaji kwenye kamati ya maombi maana wachawi ni wengi kwenye shughuli kama hizi
Jibu swali langu. Mlikuwa wangapi wakati mnaanzisha TANU? Tulikuwa tunabishana na Mr Rocky tupe jibu.
Hii ndoa itakuwa batili tuu na haitafungwa
Hali ya Arusha ni shwari kabisa, ila tu wakazi wake wameyamisi sana mabomu ya machozi kwani walishazoeshwa. Au sivyo LiverpoolFC Filipo IGWE Preta Mungi, PakaJimmy Mr Rocky na Mzee wa Rula?
ladyfurahia tunataka uwe kwenye kamati ya sala.
Hii ndoa itakuwa batili tuu na haitafungwa
............. umekosa !!!!!Kibwenga hiki....!
Hii ndoa itakuwa batili tuu na haitafungwa
kwakweli ndoa hii si kushauri kabisa bora usubiri kaserngeti boy, muulize Madame B yaliyo mkutashemeji usinitake ubaya....... Na hii ndoa isipo fungwa hakya nani utanioa wewe!!!!!!!!!
Ifungeni tu loya
aliye nje anatamani kuingia ndani
tuliotoka ndani ngoja tutazame macho kwanza.
Hongera shemeji yanguNilipofika nimefika shem.
Muulizeni huyo Baba V ujana wake alikula na nani na kwanini uzeeni anawasumbua wasichana wadogo kama kina ww Paloma, amu na Passion Lady??
​shem kunani wewe na Mamzalendo?Mamzalendo, unasalimiwa sana na Lady doctor na pacha wake Passion Lady. Ukinionea mama mkwe measkron na ba'mkwe watu8 wape hai.