Lady Doctor come zis way.... NDOA NA HARUSI WEEKEND HII.

Lady Doctor come zis way.... NDOA NA HARUSI WEEKEND HII.

We acha talaka yenyewe kwani hata alinipa. Mmmh aseme kama alinipea wapi.
Mamndenyi nimeona anajibaraguza tu humu hakuna lolote so far hakuna ndoa iliyofungwa anajua kisheria hawezi kabisa
 
Last edited by a moderator:
Kaizer mimi na wewe tunaugomvi? Maana sikuelewi ujue!!!!

hahahaa hakuna kabisa Lady doctor...tatizo, watu wa Mungu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu, na mkataa pema, pabaya panamwita. sisi tunatoa tahadhari tu.....
 
Last edited by a moderator:
alimlea utotoni mi namlea ukubwani so tofauti yetu ni ndog sana

Point! Kwa maza nilipita mapajani kwake mara 1, kwako daily, kwa mama nilinyonya 2 yrs, kwako daily, maza alinibeba miaka 3 wewe daily wanibeba mpz
 
Back
Top Bottom