Lady Doctor come zis way.... NDOA NA HARUSI WEEKEND HII.

hahahaaa naaa baaa doooo utaongea sana mwaka huu, na bora ujichekee uongeze siku za kuishi maana umeshaachwa na wanaume kibao

mimi na Arushaone hadi kielewekeeeee!!!!!!!!!!!!!

Dena Amsi where a u.......? Nataka uwe matron wangu[/QUOTE]

Umejuaje napenda sana hiyo maneno shaka ondoa matron wanguvu nipo tayari muda wowote kuanzia sasa
 
usijali mpenz hii harusi ipo...!

Halafu mbona Arushaone mwewe haonekani shost?

Machale kunndesa!!!!!!

Usikubali kudanganywa, nilishatupa SACCOS kule tangu nilipoanza kukutokea hny.
 
Last edited by a moderator:
Mshahalalisha tayari wakati hata kikao kimoja sijakaa.....!!

Unadhani mpaka watu watoe hadharani bado hawajahalalishana? FYI Lady doctor yuko hapa na kanga moko anaandaa dinner. Baridi ya chugga nayo ni kitendawili.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…