victormztz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 1,111
- 614
Kumbe gadner si lolote, alikuwa anamchakaza tu huyu mtoto,siku hizi ana nawili kweli.Msanii nguli na namba moja nchini kwa upande wa kina dada binti machozi, komamdo, anaconda, lady jay dee amefunga ndoa weekend hii kupitia mtandao wa I.G amepost baadhi ya picha akila honey moon uko Zanzibar
Tukunyema muhimu. Unaanzaje kushika mifupa. Kitu nyama hadi unajingataUlitaka wawe vipi na wewe?Sio wote wanaopenda mitukunyema,hebu tupumzisheni na miili yetu.
Ishakuwa taabu...
Ras beach boy tu huyoRasta kaopoa dada
Msanii nguli na namba moja nchini kwa upande wa kina dada binti machozi, komamdo, anaconda, lady jay dee amefunga ndoa weekend hii kupitia mtandao wa I.G amepost baadhi ya picha akila honey moon uko Zanzibar
huyo alisha funga ndoa ila sasa anakojozwa tu. ivi alisha lpa mkopo wa benki au aliuziwa dhamana zake?
Hahahahah dah....Huyu naye asije kuwa mkojozaji kama aliyepita.
Mkuu mbona povu linakutoka.walikuambia kua hapo wapo honeymoon au ni umbea wako tu.
Ndio ufundi wa muumba mkuuvifito sasa!!!!
Aliyemuowa= AliyemuoaNa aliyemuowa.
Uchochezimbn picha hazisadifu tukio la ndoa..
My dia tena wengi wana wanawake wa aina ile ile wanayoponda,Mungu awasaidie.Angekuwa kama wema wangemsema now anaolewa pia wanamsema, wanaume wa Jf wanapenda sana kukandia wanawake, wakimaliza hapo ndo wa kwanza kuja kutusumbua vitandan
Daaah huwa nasikitika sana mtu akitoa maneno kama haya.I hope unawaza ni jinsi gani na wewe ungekuwa na hali hiyo halafu unasikia maneno haya.Tatzo hashiki mimba
problem mnatoa sana mimba mwishowe hamzai tenaDaaah huwa nasikitika sana mtu akitoa maneno kama haya.I hope unawaza ni jinsi gani na wewe ungekuwa na hali hiyo halafu unasikia maneno haya.
Bahati mbaya sijapata vipondo vyovyote vya maisha ukiacha vile vya kimaumbile kama kufiwa na maradhi ya hapa na pale...nasisitiza ameshachuja kwenye sanaa hana jipya wala mvutoWabongo bwana, wanawake wakionyesha heshima na kujiheshimu mnawaponda wakijianika kama Wema mnaponda, sasa tukimbilie wapi? Kama JD kachuja wewe uliyepata vipondo vya maisha tukuiteje!? Umevuja ama?
hahaa umenielewa vibaya Mkuu.. amechujaa kisanaaHadi wewe mkuu?Kwahiyo mlitaka aendelee kuzini ili mmuite malaya?