victormztz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 1,111
- 614
Kumbe gadner si lolote, alikuwa anamchakaza tu huyu mtoto,siku hizi ana nawili kweli.Msanii nguli na namba moja nchini kwa upande wa kina dada binti machozi, komamdo, anaconda, lady jay dee amefunga ndoa weekend hii kupitia mtandao wa I.G amepost baadhi ya picha akila honey moon uko Zanzibar
![]()
![]()