Lady Jay Dee afunga ndoa tena?

Huyo waliyekaa naye mbona kafanana kama yule aliyekuwa anagombea Ubunge Morogoro Mjini kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo
 
Anapoteza time tu
Leo kafunga kimya kimya zikianza figisu figisu kwenye ndoa yake ataanza kupost Instagram na kwenye media zingine
 
Hongera yake, ninachokipenda kwa huyu dada ni msiri sana, wanawake wote tungekuwa hivi, mambo yangekuwa raha sana, ila wengine kila kukicha kupost relationship status zetu kwa mitandao, yakiwakuta ya kuwakuta aibu unakuwa kwao, nadhani nitaanza kuiga mfano wake sasa, big up jide
 
Msanii nguli na namba moja nchini kwa upande wa kina dada binti machozi, komamdo, anaconda, lady jay dee amefunga ndoa weekend hii kupitia mtandao wa I.G amepost baadhi ya picha akila honey moon uko Zanzibar


we mshipa uchochez wa nn sasa..?
 
Mvinyo mpya kwenye kiriba cha zamani...tunalewa kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…