unique dada
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 770
- 605
Aliyekwambia kuwa sababu ya kutokushika ujauzito ni kutoa mimba tu alikuingiza choo cha kike, kuna sababu nyingi sana sio hyo moja unayong'ang'ania ww, na wanaume wasiokuwa nauwezo wa kuzalisha nao walitoa mimba? Kupata mtoto ni majaliwa yake Mungu na si kwa uwezo wa mwanadamu msipende kuwanyooshea wenzenu vidoleanayewaambia mtoe mimba nani hayo ndo matokeo yake
abortion ndio inatake place kama hujui nitafte nkupe maelezo ya kutoshaAliyekwambia kuwa sababu ya kutokushika ujauzito ni kutoa mimba tu alikuingiza choo cha kike, kuna sababu nyingi sana sio hyo moja unayong'ang'ania ww, na wanaume wasiokuwa nauwezo wa kuzalisha nao walitoa mimba? Kupata mtoto ni majaliwa yake Mungu na si kwa uwezo wa mwanadamu msipende kuwanyooshea wenzenu vidole
Mfyuuuu Kwan umeckia wanawake wote wasiozaa wanatoa mimba??? Mungu pekee ndo muamuz nan ampe na nan amnyime, so nitolee maneno yako yanayonuka uwozoanayewaambia mtoe mimba nani hayo ndo matokeo yake
Huyu namfahamu. Nataka kujua kwa nini wanamwita mkojozaji. Tafadhali mkuu.
Anatafuta nyimbo mpya tu hana lolote. Soon tutamsikia anakuja ma dongo jipya hooo wanaume kama Big G.
Nimecheka kwa sauti aiseeteh teh teh
Dada yetu huwa ana nyota nzuri sana ya kuangukia kwa wakojozaji
Kwani ana miaka mingapi sasa hivi ya utu uzima?Tatzo hashiki mimba