Lady Jay Dee amka, kiti chako kinataka kuchukuliwa

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,182
Reaction score
1,288
Nilikua mfuatiliaji wa mwanamuziki Lady Jay dee but yuko kimya sana hadi watoto wa juzi wanataka kumpita hasa huyu Vanessa Mdee anavyokuja kwa kasi ya ajabu hadi kufikia kuchukua tuzo ya kimataifa. Na juzi tu ameachia wimbo wake ambao umekua gumzo kuanzia video na audio.

Cheki hii video ya Vanessa Mdee and 2face
https://www.youtube.com/watch?v=kKbJrvVIRys
 
Last edited by a moderator:

Kwa lundo la wanamuziki waliopo sahv ili ukae juu lazima at least utoe single kila baada ya miezi 3,otherwise watu wanakusahau.
 
Last edited by a moderator:
Lady Jaydee amejisahau sana. Muda wote anatumia kurekodi kipindi chake cha Diary ya Lady Jaydee. Kipindi chenyewe hakina tija.
 
Kila zama na kitabu chake..

Zama zilee alikuwaga jide, ray c n.k

Zama za juz juz walikuwa wakina linah, mwasity....n.k

Zama za leo tuna v-money, rubiii.....n.k
Halafu huu muziki wa kileo bhana, cjui vipi... dizaini kama una aleji na watu wazima! Wengi wana-hit at 20's na wakishagusa 30's tu, taabu inaanza!! Hata Michael Jackson wa Early 80's wakati akiwa 20's hakuwa tena wa 90's! Na leo itakuwa ni ndoto za mchana kutarajia Jide aje kupimana misuli na mabinti wa 20's... acha huyo Vanessa ambae tayari ana exposure.... anafanya fanya vipi kukabiliana na mtu kama Ruby! Huyu Ruby ni timing bomb
 
Labda kiti cha kukaa uchi ila vanessa bado mtoto kwa lady jidee
Kijana unaonekana una mahaba na wanamuziki vikongwe.... there's no way leo hii Lady Jay Dee anaweza kushindana na damu changa kama Vanessa na Ruby unless kama na yeye anatarajia kuingia kwenye category cha mwanamuziki anayechipukia wakati keshazeeka... c.c warumi!!!
 
Last edited by a moderator:
Wewe huyu kibibi hamuwezi lady jay Dee hata siku moja jay Dee sauti yake sio mchezo
 
Ni wakati wa mabadiliko...hatutaki kuwaona watu walewale,wakifanya yaleyale,kwa nafasi zilezile...!Tumechokaaaaa,Muda wa mabadiliko ndio huu.
 
Halafu huu muziki wa kileo bhana, cjui vipi... dizaini kama una aleji na watu wazima! Wengi wana-hit at 20's na wakishagusa 30's tu, taabu inaanza!! Hata Michael Jackson wa Early 80's wakati akiwa 20's hakuwa tena wa 90's! Na leo itakuwa ni ndoto za mchana kutarajia Jide aje kupimana misuli na mabinti wa 20's... acha huyo Vanessa ambae tayari ana exposure.... anafanya fanya vipi kukabiliana na mtu kama Ruby! Huyu Ruby ni timing bomb
Hakuna msanii hapo.Labda muimbaji tu.Hana tofauti na kina Recho.
 
Kijana unaonekana una mahaba na wanamuziki vikongwe.... there's no way leo hii Lady Jay Dee anaweza kushindana na damu changa kama Vanessa na Ruby unless kama na yeye anatarajia kuingia kwenye category cha mwanamuziki anayechipukia wakati keshazeeka... c.c warumi!!!
Halafu we jamaa sijui upoje sasa Vanessa kisa kachukua afrimma awards ndo awe bora kushinda lady jidee kwani huyo Vanessa ndo msanii wa kwanza kuchukua tuzo za nje ya Tanzania lady jidee kashachukua zamani sasa huo ubora wa Vanessa ni upi yani kuchukua ki tuzo kimoja cha best female mbele ya waimba taarabu hadija kopa et ndo ampite lady jidee kwa ubora au kuimba #think twice
 
Last edited by a moderator:
Wewe huyu kibibi hamuwezi lady jay Dee hata siku moja jay Dee sauti yake sio mchezo
Mkuu yani kuna watu sijui wapoje kumfananisha Vanessa na lady jidee ni kukosa akili na adabu hata kama ni ushabiki umevuka mipaka au kwa sababu lady jidee hapewi air time clouds ndo maana hamjui vitu vyake vingi katoka kuchukua tuzo ya heshima kenya juzi juzi tu hapa Vanessa what a jokes??? Mkuu afadhali ww unajielewa
 
Lady jidee anatakiwa aheshimiwe jamani acheni ushabiki maandazi hapewi promo kama kina Vanessa na ruby na wasanii wengine wa kike lakini yupo juu mpaka leo licha ya kufanyiwa fitna na kina ruge na clouds yake #usiache mbachao kwa msala upitao
 
Hakuna msanii hapo.Labda muimbaji tu.Hana tofauti na kina Recho.
Hao c ndo wanaokesha clouds et mnamfananisha lady jide na hawa vinuka mkojo na kupenda scandal daa hawa team pinzani wanataka kila kitu wavutie kwao kamaa jamaa yao
 
Halafu huu muziki wa kileo bhana, cjui vipi... dizaini kama una aleji na watu wazima! Wengi wana-hit at 20's na wakishagusa 30's tu, taabu inaanza!! Hata Michael Jackson wa Early 80's wakati akiwa 20's hakuwa tena wa 90's! Na leo itakuwa ni ndoto za mchana kutarajia Jide aje kupimana misuli na mabinti wa 20's... acha huyo Vanessa ambae tayari ana exposure.... anafanya fanya vipi kukabiliana na mtu kama Ruby! Huyu Ruby ni timing bomb

Mkuu kweli kabisa umri pia ni sababu za watu kupotea.....naweza kuamini hilo hususani kwa wasanii wakike...
 
Lady jidee anatakiwa aheshimiwe jamani acheni ushabiki maandazi hapewi promo kama kina Vanessa na ruby na wasanii wengine wa kike lakini yupo juu mpaka leo licha ya kufanyiwa fitna na kina ruge na clouds yake #usiache mbachao kwa msala upitao

Jide alikuwa juu, ila kwa sasa kidogo kayumba...flani hivi...

Kumbuka tunaongelea kwa wakati huu
 
Ndio lazima ayumbe we unadhani hivyo anavyopigwa vita asisikike we huoni au yaani mpaka pale alipofika kajitaidi sana sasa we unazungumzia wakati gani mpeni heshima tu strong woman yule "
 
Hakuna msanii hapo.Labda muimbaji tu.Hana tofauti na kina Recho.
Naomba uongee kitaalamu na si kama tulivyozoea kuongea mitaani-- Je, msanii ni nani na mwimbaji ni nani? Wengine utasikia, "sio mwanamuziki huyo ni mwimbaji!" If you don't mind, nieleze pia mwanamuziki ni nani!
 
Jay Dee is history. kuwa na akili.
 
Back
Top Bottom