Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,182
- 1,288
Nilikua mfuatiliaji wa mwanamuziki Lady Jay dee but yuko kimya sana hadi watoto wa juzi wanataka kumpita hasa huyu Vanessa Mdee anavyokuja kwa kasi ya ajabu hadi kufikia kuchukua tuzo ya kimataifa. Na juzi tu ameachia wimbo wake ambao umekua gumzo kuanzia video na audio.
Cheki hii video ya Vanessa Mdee and 2face
https://www.youtube.com/watch?v=kKbJrvVIRys
Cheki hii video ya Vanessa Mdee and 2face
https://www.youtube.com/watch?v=kKbJrvVIRys
Last edited by a moderator: