Lady Jay Dee asalimu amri kwa Clouds, aruhusu nyimbo zake zipigwe rasmi

Alichofanya Jide na team yake ni uungwana. Jamaa walitaka yaishe, kakubali yaishe. Angegoma, wangesema anapenda visasi, ndio wabongo tulivyo.

Baada ya Jide kuwatuhumu Clouds,Clouds walifungua kesi kumtaka Jide athibitishe aliyoandika.Mwezi huu ile kesi imeisha ndio maana hata Ruge anaongelea miaka ya nyuma Ruge alikuwa hawezi hata kutaja jina la LadyJaydee. Clouds wameshinda hiyo kesi na Jide ameambiwa awaombe msamaha na alipe gharama za kesi

http://djhazuu.com/lady-jaydee-ashindwa-kesi-na-clouds-media-mahakama-yampiga-nyundo/ [URL]
 
Naam wasikilizaji Wa jahazi

Nawaletea mwanadada Lady jay dee binti machozi mamaa samfudi na kibao chake ndi ndi ndi ( kwa sauti ya gadna)

Amin amini nakuambia ukimkojoza mwanamke hatakusahau kwamwe atarudi tu iwe leo au kesho yaani lazima atarudi hata akiutangazia ulimwengu wote atarudi tu

Soon mtu ataanza kukojozwa tena hahhahah

Hahahahahah wacha wanaume waitwe wanaume


Daaaah jide chaliiiiii
 
nashangilia tu, na kumbeza Jide, ila mnasahau wiki iliyopita Ruge ndiye aliyeanzisha kutaka mapatano wakati akihojiwa na kituo chake. Kama Ruge aliona haya yanahitajika kufika mwisho, kwa nini kwa Jide ionekane kwetuu kama amelamba tapishi lake?
Kwahiyo unataka kujidanganya kwamba Clouds wanamuhitaji sana Jide??!!!
 
Mmmh tunapita kwenye kipindi cha mpito lazima uondoe hasira "hongera JD"
 
We jamaa ni mnazi wa clouds nn luge ndo amefunguka na kusema yaishe sio jide

Iyo management ya jide imekubali tu yaishe sio kesi sasa nani ameomba pooh clouds wameangalia mbali sana E tv iko kwenye majaribio wengi wangeota pembe na kudharau clouds
Ruge kaamua kutumia busara tu kwa hiyo kauli... kwenye kesi, Jide ndie ameshindwa kesi! Sasa tangu lini aliyeshinda kesi akaomba poo? By the way, hivi unaamini kabisa ni Clouds ndio inamuhitaji Jide kuliko Jide anavyoihitaji Clouds??!!!
 
nashangilia tu, na kumbeza Jide, ila mnasahau wiki iliyopita Ruge ndiye aliyeanzisha kutaka mapatano wakati akihojiwa na kituo chake. Kama Ruge aliona haya yanahitajika kufika mwisho, kwa nini kwa Jide ionekane kwetuu kama amelamba tapishi lake?
Mkuu sisi Watanzania tunashida moja. Hatujuagi "ku-reason". Lolote linalokuja tunajibu bila kujua chanzo chake.
 


Bado Ruge hakuwa na sababu ya kuongelea mgogoro wao kama sio kutafuta suluhu. Angenyamaza Jide ndio aanze.
 


Ruge ameanza kuzungumzia hii issue baada ya Clouds kushinda kesi now hakuna tena huo mgogoro ndio maana yuko free kuongelea

Tangu JayDee awashutumu Clouds/Ruge walikuwa hawajawahi zungumzia hii issue hata kwenye Interview yake na Mkasi TV hawakuigusia kabisa na hata aliyemuuliza swali Ruge ni mtangazaji wa Clouds akiwa anafahamu kabisa kesi imeisha
 

Point yangu ni kuwa, Clouds waliiongelea kuonyesha kuwa hawana tatizo na Jide, so Jide nae kamaliza.
 
Acha kuwa na akili kama za mende!

Clouds ni system haiwezekani system isande kwa mtu mmoja for what?
 
Lets grow up. Ni mangapi tunafanya na kubadili perspective mbele ya safari? Mimi na wewe tumeshafanya hivo mara nyingi.

Kila nikimuangalia Trump watu walivyomkandia kwamba hafai hata kwa bure...leo ndo wanapanga foleni kwenda kuomba interview...natambua kwamba maisha hayana formula.

Ukiona watu wanafanya amani..ni kumshukuru Mungu.
 
Alienyoosha mikono ni ruge.yeye ndio alihitaji maridhiano acheni kupotosha.
 
Acha kuwa na akili kama za mende!

Clouds ni system haiwezekani system isande kwa mtu mmoja for what?
Ndg yako Ruge ndo amesanda mpaka akenda kulia lia kwa media Xxl kumlilia komando Jide.
We ndo una akili za Mende tena ambaye bado yupo tunduni kwa sababu ungejua nani alianza kulia lia kuomba suluhu wala usingeleta ushuzi wako.
 
nashangilia tu, na kumbeza Jide, ila mnasahau wiki iliyopita Ruge ndiye aliyeanzisha kutaka mapatano wakati akihojiwa na kituo chake. Kama Ruge aliona haya yanahitajika kufika mwisho, kwa nini kwa Jide ionekane kwetuu kama amelamba tapishi lake?
Uko sahihi kabisa nadhani wote wamechukua hatua ya kupatana ni jambo jema sioni sababu ya kuchukulia hii hatua kama uoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…