Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
Alichofanya Jide na team yake ni uungwana. Jamaa walitaka yaishe, kakubali yaishe. Angegoma, wangesema anapenda visasi, ndio wabongo tulivyo.
Baada ya Jide kuwatuhumu Clouds,Clouds walifungua kesi kumtaka Jide athibitishe aliyoandika.Mwezi huu ile kesi imeisha ndio maana hata Ruge anaongelea miaka ya nyuma Ruge alikuwa hawezi hata kutaja jina la LadyJaydee. Clouds wameshinda hiyo kesi na Jide ameambiwa awaombe msamaha na alipe gharama za kesi
http://djhazuu.com/lady-jaydee-ashindwa-kesi-na-clouds-media-mahakama-yampiga-nyundo/ [URL]