Lady Jay Dee aweka picha yake ya nusu uchi mtandaoni, naona sasa anaelekea kusiko! Mashabiki wamvaa

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
14,834
Reaction score
32,522
Huyu mwanamke sijui ni stress ama ni nini...
Katika hali inaonesha kupanick au kutojiamini na anachokifanya, amekuwa akijibu tena kwa kejeli kila comment ya mtu anayemcriticise, hii ni baada ya kutupia picha za nusu utupu.

 
Huyu mwanamke sijui ni stress ama ni nini...
Katika hali inaonesha kupanick au kutojiamini na anachokifanya, amekuwa akijibu tena kwa kejeli kila comment ya mtu anayemcriticise, hii ni baada ya kutupia picha za nusu utupu. View attachment 1006855
Ana tumbo nzuri 😋😋😋
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…