mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,922
- 3,618
mbona sijaona nusu uchi, au mleta thread haujawahi kuona uchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo alivovaa vile wewe kwako ni Kujisitiri au!?Picha za nusu utupu? Utupu gani?
Kwahiyo , nkuulize swali 1 na naomba isiwe personal, kwani wewe mpenzi wako au mkeo kama umeoa anaweza vaa hivo ukampeleka kwa mamayako mzazi!? Au ungependa dress code hiyo avae mzazi au dada ako!? Kama unapata ukakasi basi ujue ni utupu, kama unaona sawa basi nadhani wewe si mtanzaniaThats her life hana obligation kwa kima yoyote. She has one life wacha aishi maisha yake tu ukiendekeza pimbi wa mitandaoni huwezi kufanya kitu, hapo uchi upo wapi?? Halafu utamaduni wa kiafrika sio kuvaa nguo ndefu, someni history nguo zimeletwa na wazungu
Siku hazigandijide kawa bibi hivyo,,wrinkles kibao
Ndio mana kesi za kubaka nyingi siku hizi. Sasa unusu uchi uko wapi hapo?
Wapi jamani? Angalia wimbo wa Siku hazigandi kitovu nje mbona Ndo mavazi yake? After all. Hiyo nguo IPO sawa tuAmenisikitisha sana. Kuna level ukishavuka na ukawa na heshima mbele ya jamii ni vizuri kujitafakari mno unapotaka kufanya kitu public. Wapo watu walioruhusu watoto wao kuingia kwenye muziki kwa sababu yake na heshima aliyoiweka. Mfano gani anawapa wadogo zake? Tutawakanya wadogo zake kwa mfano upi tena? Sad!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mwanamke sijui ni stress ama ni nini...
Katika hali inaonesha kupanick au kutojiamini na anachokifanya, amekuwa akijibu tena kwa kejeli kila comment ya mtu anayemcriticise, hii ni baada ya kutupia picha za nusu utupu. View attachment 1006855
View attachment 1007488
Watu wamechelewa kuja mjini ndio maana wanashupaza shingo, tangu lini Jide alivaa kilokole wakaangalie picha za harusi yake alivyovaa sidiria.Wapi jamani? Angalia wimbo wa Siku hazigandi kitovu nje mbona Ndo mavazi yake? After all. Hiyo nguo IPO sawa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaelewa unachokisema??.Ilaa huyu nae sijui shida nn techolojia imekua sanaaa sahv atafute mtu amzalie kama yeye hawez na iman mayai anayo na pesa anayo azamiee mbele huko akaje na mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko viziri kwa kweli wengi wakifika age hii watakuwa wa ovyo sana sioati picha akina sepenga wakikanyaga miaka ya jide na minyama yao watakuwaje inaelekea huyu dada ana nidhamu na mwili wakeBinafsi namuona anazeeka na uzuri wake! Sijui ni haya macho yangu[emoji39]
Kwa m-mama anayeikimbiza 47, si haba. Chuchu lipo.