Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Amenisikitisha sana. Kuna level ukishavuka na ukawa na heshima mbele ya jamii ni vizuri kujitafakari mno unapotaka kufanya kitu public. Wapo watu walioruhusu watoto wao kuingia kwenye muziki kwa sababu yake na heshima aliyoiweka. Mfano gani anawapa wadogo zake? Tutawakanya wadogo zake kwa mfano upi tena? Sad!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nitofautiane na wewe. Judith hajawahi kuwa na heshma mbele ya jamii. hata kanisani kwake walimtenga miaka ya 80 au 90 (kama sikosei) kwa kukaa uchi. Hawa ni Malaya, ila umalaya uliohalalishwa. Ukitaka kuona mapaja ya mwanamke, weka vitu kama maonyesho mitindo, nguo za ufukweni etc. Unatafuta njia inayokubalika na jamii ufanye umalaya, ujitangaze. Na wanaume wanapenda kuona "nyuchi", tafuta namna ya kuwavutia upate umaarufu!View attachment 1007487
Judith dada yangu wewe unayo heshima kubwa kama legend. Tafadhali sana itunze heshima hii kama afanyavyo Joseph Mbilinyi na Joseph Haule. Kwa nini umeanza kutembea uchi kabisa
Hamna kitu hapo picha isikudanganyedah, gadna kafaidi sana ma+mae zake
Ndio mana kesi za kubaka nyingi siku hizi. Sasa unusu uchi uko wapi hapo?
Nusu uchi uko wapi hapo? Nyinyi mna stress mnamsingizia Jide. Mtu avae chupi yake matako yakuwashe wewe, kweli?
Mimi pia nimejaribu kutafuta nusu uchi hapo wala sijaona nikadhani labda macho yangu yameanza kuingia ukungu, lol.Mimi pia sijaona 'nusu uchi' hapo.
Naomba nitofautiane na wewe. Judith hajawahi kuwa na heshma mbele ya jamii. hata kanisani kwake walimtenga miaka ya 80 au 90 (kama sikosei) kwa kukaa uchi. Hawa ni Malaya, ila umalaya uliohalalishwa. Ukitaka kuona mapaja ya mwanamke, weka vitu kama maonyesho mitindo, nguo za ufukweni etc. Unatafuta njia inayokubalika na jamii ufanye umalaya, ujitangaze. Na wanaume wanapenda kuona "nyuchi", tafuta namna ya kuwavutia upate umaarufu!
Hawa macelebrities umri wao huwa ni reversible, bila shaka ushamuacha sana kiumri[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu Mimi ndio namalizia ujana. Huyu dada alikuwa mbele yangu kwa vidato 3!
Sent using Jamii Forums mobile app