LADY JAY DEE ndani ya bongo fleva Honoros usiku wa leo

ukwaju_wa_ kitambo

Senior Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
150
Reaction score
173
1729883049332.jpg
LADY JAY DEE NDANI YA BONGO FLEVA HONOURS USIKU HUU...

Kuanzia ‘siku hazigandi’ hadi ‘ndindindi’, kupita kwenye ‘wangu’ hadi ‘mambo matano’ hizo ni baadhi tu ya nyimbo kutoka kwenye collection ya Malkia wa Bongofleva, Dada mwenye ukuu wake kwenye dunia ya Bongofleva Lady JayDee ambaye leo amepewa heshima ya kuendelea kuiheshimisha Bongofleva kupitia Tamasha la BONGOFLAVA HONORS linalofanyika jioni ya leo Ijumaa Warehouse Arena Jijini Dar es salaam.

Pamoja na perfomace kali anayotarajiwa kuifanya Lady JayDee Usiku wa leo October 25, 2024, imetangazwa rasmi na Waandaji wa tamasha hilo kama siku maalum kwa Mwimbaji huyo kutunukiwa tuzo ya heshima na kusherekea mafanikio yake katika Muziki wa Bongofleva.

“Tunaenda kumuheshimisha Dada mkubwa, mimi ninasema hakuna Msanii wa kizazi hiki kama Lady Jaydee” hayo ni maneno ya Joseph Mbilinyi wakati akizungumzia maandalizi ya tamasha hilo na ubora wa Lady Jaydee katika Bongofleva.

Ngoma gani za Jide hauzikosi kwenye collection yako ?

Ukwaju wa kitambo
0767 542 202
 
View attachment 3135221LADY JAY DEE NDANI YA BONGO FLEVA HONOURS USIKU HUU...

Komando kama komando
 
Back
Top Bottom