Lady Jaydee akiwa na mpenzi wake mpya, wamependeza au la?

sijui kama nitaweza kuja kulala na mwanaume tena hivo ! ni ujinga tu unamsumbua
Nothing wrong, except kuanika kwenye public kama hivyo!
But with privacy, ipe nafsi kile moyo unataka!! Love is a beautiful thing, enjoy it to the fullest!
 


Naona Anarudi Kwa Ujana Kwa Kasi ya Ajabu sasa Sijui alikuwa wapi kuyafanya Haya Na Mumewe kipindi kile..

Vipi hapo Unaonaje.. Yupo sawa Au Kaboa
Au ndio wewe yuleuliepigwachini nini?
 
swali ni kwamba ataweza kumkojoza kama yule wa kwanza?
 
machalii wa kinigeria hawana tofauti na machalii wa kikongo,maslahi mbele,utu nyuma.dada etu kaingia cha kike.

ahifadhi vizuri document za asset zake,vinginevyo ajiandae "kupigwa".

yasije yakamkuta yaliyomkuta dada mmoja wa ktz aliyekuwa ana date na mnigeria miaka kadhaa iliyopita.


dakika za mwisho wakati jamaa karudi kwao lagos, ndio alishtuka kwamba mjengo wake ulitumika kuchukulia mkopo bank bila yeye kuhusishwa.wanigeria hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…