Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Swali lako ndio jibu, ukitoa (?)Hivi Jamaa kweli anagonga ngozi au anamrusha roho mkojozi wa awali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali lako ndio jibu, ukitoa (?)Hivi Jamaa kweli anagonga ngozi au anamrusha roho mkojozi wa awali?
Nothing wrong, except kuanika kwenye public kama hivyo!sijui kama nitaweza kuja kulala na mwanaume tena hivo ! ni ujinga tu unamsumbua
hahaha! huyu bibi noma!! yaani mzee antumia nguvu kubwa kumchanganya bibi ila wapi, bibi katulia tuliii!Mzee anajaribu kumuibua faru John sababu gear zote zimefeli kwa kimwana
Kwahiyo nisiangaike eenh!sijui kama nitaweza kuja kulala na mwanaume tena hivo ! ni ujinga tu unamsumbua
HahahahaKwani kazeeka huyo binti mbichi kabisa na hawa utawaweka wapi punguza ushamba![]()
Au ndio wewe yuleuliepigwachini nini?![]()
Naona Anarudi Kwa Ujana Kwa Kasi ya Ajabu sasa Sijui alikuwa wapi kuyafanya Haya Na Mumewe kipindi kile..
Vipi hapo Unaonaje.. Yupo sawa Au Kaboa
Nilimaanisha mumewe wa mwanzo mkuuNi Musoma moja huyo siyo msukuma mkuu. Makao ndiyo Shinyanga asili mara
(WAMBURA)
Kuna wimbo wanaachia wamefanya pamoja ngoja tusubiri tuone utakuwaje!
Hii Itakuwa Video Mpya ya Jide na Si kama tunavyowaza.Swali lako ndio jibu, ukitoa (?)
Umenikumbusha mkurya mmoja hiviKuna makabila hayataki mizaha......unapigwa miti na huitwi bebi
Lazima nikutafune ww bongesijui kama nitaweza kuja kulala na mwanaume tena hivo ! ni ujinga tu unamsumbua
nimekuwa bublish?Lazima nikutafune ww bonge
hahahahahahahahahahKuna makabila hayataki mizaha......unapigwa miti na huitwi bebi