Lady Jaydee amemuimba X wake baada ya kufulia na kuwa chapombe wa taifa?

Lady Jaydee amemuimba X wake baada ya kufulia na kuwa chapombe wa taifa?

Nyimbo nzuri,...sema ukisikiliza vizuri anavyoimba na mdundo ni kama kuna ngoma nadhani ishawahi kuimbwa kama hiyo japo mashairi tofauti!!
 
Jaydee na Gadner hawana ugomvi. Hata juzi Jaydee alikuwa kwenye Jahazi akihojiwa na akampa Gadner zawadi ya sneakers.
Mkuu hayo mahojiano niliyasikiliza,tena anaulizwa pale kwamba hii nyimbo mbona kama inamlenga mtu flani ,Jide akajibu kwamba watu mawazo yao wanapeleka tu huko, wakahojiana pale na kufurahi na Gardener mwenyewe akawa anamwuliza baadhi ya maswali na wako fresh.
 
Wimbo mpya unaokimbiza hapa Tanzania unamaneno makali ya kuiuliza jamaa juu ya life mbovu ya mwamba mmoja huko uswahilini ikimuonesha akiishi life la kujificha na kufulia huku maneno ya masimango yakiwa tele kutoka Kwa mwimbaji .

Vijana wanasema komando Jaydee amemuimba X wake baada ya jamaa kufulia na kuwa chapombe kupitiliza

Huu ungomvi wao utaisha lini , Jaydee alifanyiwa nini hadi amtungie nyimbo hadi Leo

USSR
Una uhakika gani kamuimba x wake?

Jamaa kweli pombe imemzawadia umaarufu
 
Back
Top Bottom