Lady Jaydee amemuimba X wake baada ya kufulia na kuwa chapombe wa taifa?

Lady Jaydee amemuimba X wake baada ya kufulia na kuwa chapombe wa taifa?

Wimbo mpya unaokimbiza hapa Tanzania unamaneno makali ya kuiuliza jamaa juu ya life mbovu ya mwamba mmoja huko uswahilini ikimuonesha akiishi life la kujificha na kufulia huku maneno ya masimango yakiwa tele kutoka Kwa mwimbaji.

Vijana wanasema komando Jaydee amemuimba X wake baada ya jamaa kufulia na kuwa chapombe kupitiliza

Huu ungomvi wao utaisha lini, Jaydee alifanyiwa nini hadi amtungie nyimbo hadi Leo

USSR
Nasikia alimkojoza mpaka akamwaga kojo la haja

Amelimisi kusema ndo anashindwa
 
Back
Top Bottom