Lady Jaydee amemuimba X wake baada ya kufulia na kuwa chapombe wa taifa?

Nyimbo nzuri,...sema ukisikiliza vizuri anavyoimba na mdundo ni kama kuna ngoma nadhani ishawahi kuimbwa kama hiyo japo mashairi tofauti!!
 
Jaydee na Gadner hawana ugomvi. Hata juzi Jaydee alikuwa kwenye Jahazi akihojiwa na akampa Gadner zawadi ya sneakers.
Mkuu hayo mahojiano niliyasikiliza,tena anaulizwa pale kwamba hii nyimbo mbona kama inamlenga mtu flani ,Jide akajibu kwamba watu mawazo yao wanapeleka tu huko, wakahojiana pale na kufurahi na Gardener mwenyewe akawa anamwuliza baadhi ya maswali na wako fresh.
 
Una uhakika gani kamuimba x wake?

Jamaa kweli pombe imemzawadia umaarufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…