Lady Jaydee amemuimba X wake baada ya kufulia na kuwa chapombe wa taifa?

Kuna mdau alisema ndo goita uleugonjwa ukila nyama ya mbuzi sana, sijui kweli
😂😂😂 Hamna bhana goita ni kwenye koo na kama ni ule ugonjwa wa kula nyama ya mbuzi nahisi unaitwa gaut ila huo ni sehem za maungio japo sijawahi kutana na mtu akanipa uzoefu kwenye huo ugonjwa ila mwamba akibaa t-shirt dah anachekesha anakua kama wale katuninwa magazeti ya sun
 
Mshamba sana Jide halafu kajawa visasi.. Labda kama hajamuimba mwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mdau alisema ndo goita ule ugonjwa ukila nyama ya mbuzi sana, sijui kweli
Goita na gauti ni magonjwa mawili tofauti. Ila mwamba katisha, mkono kama mguu wa chini wa nyuma wa mbuzi aka paya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…