warumi unapenda sana kuzungumzia mafanikio ya Jide nje ya muziki... hapa hakuna anayejadili utajili wa mtu kwavile si mimi wala wewe ambae anafahamu utajiri wa kila mmoja... juzi juzi tu Ray nae akaibuka na kusema yeye ndie msanii tajiri kuliko wote... mwakajana Diamond nae akaibuka na kusema akaunti yake ina angalau Bilioni moja za Kitanzania... nani anaweza ku-confirm yote haya.... si ajabu msanii tajiri kuliko wote ni Riyami Ally, who knows??!!! It's good kwa Jide kwamba ana vit vinavyoonekana, lakini kuna wengine vya havionekani!!! Sasa kwavile hatuwezi kuyapatia majibu sahihi mambo kama haya, wengine tuta-base kwenye kazi za kisanii! Leo hii nikisema ama Jide au Kiba amefulia, reference yangu haitakuwa kufulia kiuchumi coz' sifahamu what they own....We unadhan jide anababaishwa na nini?? Kama uhakika wa maisha anao ata asipoimba mwaka mzima, bado ataingiza pesa kila wiki pale nyumbani lounge, bado ana vitega uchumi kibao , kama kufulia kimuziki kafulia kitambo na sasa ivi anaishi kwa nguvu za pesa yake mwenyewe, maana hata nyimbo zake izi mbili za mwisho hazijafanya poa ila bado mwenzenu life linasonga mbele, inshort achaneni na jide, yule kashashindikana ndugu zangu, mtajisumbua bure yule maisha kashayapatia kitambo
Last edited by a moderator: