Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi binafsi kabisa kisanaa maana kwa sasa anaishi kwa huruma za mashabiki wanaoamini anaonewa......
Nyimbo ya Yahya imetamba bila hata kuanza kupigwa radioni.....imeanza kutamba kwenye mabaa na mitaani....sioni alipofikia anahitaji kiki ya mtu zaidi ya juhudi zake binafsi........
Kwakweli nilikuwa mshabiki wa Jide lakini nimekaa pembeni kidogo sababu nimegundua ni mtu anayependa kunyenyekewa na kiburi pia , msanii kuwa na maugomvi na watu si vizuri sababu inakushusha kisanii.
Naliona anguko la Jide muda si mrefu
Sasa wivu upo wapi hapo? Hebu jiulize hata wewe mwenyewe... miongoni mwa radio zote zinazopatikana eneo unaloishi, ni ngapi huwa unasikiliza mara kwa mara... ukipata jibu ndipo utakapofahamu issue sio kufungua radio station bali issue ni kuifanya hiyo radio station yako kuwaAcha wivu kama wewe unaweza fungua hata blog tu
Sasa wivu upo wapi hapo? Hebu jiulize hata wewe mwenyewe... miongoni mwa radio zote zinazopatikana eneo unaloishi, ni ngapi huwa unasikiliza mara kwa mara... ukipata jibu ndipo utakapofahamu issue sio kufungua radio station bali issue ni kuifanya hiyo radio station yako kuwa
kituo pendwa. Hayo maneno yasiyoisha kila uchao dhidi ya Clouds ni kv tu wamefanikiwa kufanya kile ambacho wengi wameshindwa!
Man, you're smart ndo maana umeliona hili... wengi humu wanasukumwa na ushabiki pamoja na shouting... kimsingi, tunapozungumzia sanaa, hivi sasa anatembelea nyota ya public sympathy... kama ulivyosema, kuna watu wanaamini ameonewa lakini kuna lingine la itikadi. Kati y Block kubwa mbili za kisiasa, kuna moja inawaona Clouds ni shenzi taipu mafedhuli wasiofaa kwa A wala Be! Sasa ukiwa na mafumangamano na Clouds, hii block inakuona wewe na Clouds ni wale wale tu... lakini ukiwa adui na Clouds, inafuata dhana ya adui wa adui ni rafiki!Mimi binafsi najua misimamo ya Magenge a.k.a maujanja supplier kitambo.....wale walikuwa radhi kula hata pumba lakini si kunyanyua mikono kwa Ruge lakini mwisho wamesanda......JIDE inawezekana akasanda maana kimsimamo hawafikii magenge ya mwenge hata chembe ingawa kusanda kwake ndio itamuua kabisa kisanaa maana kwa sasa anaishi kwa huruma za mashabiki wanaoamini anaonewa......
Nyimbo ya Yahya imetamba bila hata kuanza kupigwa radioni.....imeanza kutamba kwenye mabaa na mitaani....sioni alipofikia anahitaji kiki ya mtu zaidi ya juhudi zake binafsi........
Kumwambia kuanzisha radio station sio kazi kazi ni kuifanya ikamate watu ni kubeza au kutoa changamoto?Yeye ndio kwanza kaanza ishu ni kumtia moyo na sio kumbeza.nchi hii ina tatizo kubwa la ajira na linatokana na kila mtu kutaka kuajiriwa kwahiyo ikitokea mtu anaanzisha kitu kama radio ni kumpongeza sababu ndio itamnufaisha yeye binafsi hatahivyo itasaidia kupumguza unemployment.
Kwakweli nilikuwa mshabiki wa Jide lakini nimekaa pembeni kidogo sababu nimegundua ni mtu anayependa kunyenyekewa na kiburi pia , msanii kuwa na maugomvi na watu si vizuri sababu inakushusha kisanii.
Naliona anguko la Jide muda si mrefu
Man, you're smart ndo maana umeliona hili... wengi humu wanasukumwa na ushabiki pamoja na shouting... kimsingi, tunapozungumzia sanaa, hivi sasa anatembelea nyota ya public sympathy... kama ulivyosema, kuna watu wanaamini ameonewa lakini kuna lingine la itikadi. Kati y Block kubwa mbili za kisiasa, kuna moja inawaona Clouds ni shenzi taipu mafedhuli wasiofaa kwa A wala Be! Sasa ukiwa na mafumangamano na Clouds, hii block inakuona wewe na Clouds ni wale wale tu... lakini ukiwa adui na Clouds, inafuata dhana ya adui wa adui ni rafiki!
We unadhan jide anababaishwa na nini?? Kama uhakika wa maisha anao ata asipoimba mwaka mzima, bado ataingiza pesa kila wiki pale nyumbani lounge, bado ana vitega uchumi kibao , kama kufulia kimuziki kafulia kitambo na sasa ivi anaishi kwa nguvu za pesa yake mwenyewe, maana hata nyimbo zake izi mbili za mwisho hazijafanya poa ila bado mwenzenu life linasonga mbele, inshort achaneni na jide, yule kashashindikana ndugu zangu, mtajisumbua bure yule maisha kashayapatia kitambo
We naona unachanganya mambo tunaongelea anguko la kimuziki/sio biashara ya mgahawa/home lounge. Inamaana atapotea kimuziki halafu watoto wa mjini mawingu wakishamaliya kimuziki wanaamia kwenye mgahawa we subiri zile no nyingine.
Time will tell.
Jide hajawahi kuanguka kimuziki, kwa taarifa yako tu, toka aanze muzik mwaka 2000 hadi leo mwaka 2014 , tuzo ya mwanamuziki bora wa kike bado inashikiliwa na jide, kama akili zako ziko sawa utakubaliana na mimi kuwa jide hajafulia sio tu kimuziki hata kimaisha anawaburuza sana, inshort JIDE alikuwepo, yupo na atazidi kuwepo, so mtasubir sana kwa jide
Nashangaa watu wanasema kafulia, sasa ray c sijui watasema kafanyaje, yan wabongo wachawi sana, dada wa watu kaanzia mbali mpaka sasa ivi yupo juu ila watu hawaoni mchango wake, sijui wanasubir afe ndo waone mazuri yake
Tatizo lenu wahaya mnapenda sifa za kijinga hii habari imekaa kiumbea zaidi kwani ungeandika wameombana msamaha usingeleweka? Kwa akili yako unadhani mafanikio ya mziki hadi msanii apite kw Ruge