MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Mimi binafsi najua misimamo ya Magenge a.k.a maujanja supplier kitambo.....wale walikuwa radhi kula hata pumba lakini si kunyanyua mikono kwa Ruge lakini mwisho wamesanda......JIDE inawezekana akasanda maana kimsimamo hawafikii magenge ya mwenge hata chembe ingawa kusanda kwake ndio itamuua kabisa kisanaa maana kwa sasa anaishi kwa huruma za mashabiki wanaoamini anaonewa......
Nyimbo ya Yahya imetamba bila hata kuanza kupigwa radioni.....imeanza kutamba kwenye mabaa na mitaani....sioni alipofikia anahitaji kiki ya mtu zaidi ya juhudi zake binafsi........
Nyimbo ya Yahya imetamba bila hata kuanza kupigwa radioni.....imeanza kutamba kwenye mabaa na mitaani....sioni alipofikia anahitaji kiki ya mtu zaidi ya juhudi zake binafsi........