Lady Jaydee ampigia magoti Ruge

Lady Jaydee ampigia magoti Ruge

Wamesuluhishwa sana lakini haikufanikiwa.
 
Ninavyojua ruge anapenda sifa so najua angempiga picha kama ustazi Juma alivyomfanyia PNC teehe teeh teeh
 
Mwanamuziki nguli wa bongo fleva na mmliki wa machozi band, Judith wambura aka lady jaydee ameonekana kusalimu amri kwa utawala wa radio clouds FM kutokana na kile kinachoelezwa kuwa ni kuyumba kibiashara katika muziki wake.

Kutokana na hali hiyo, ndipo ikaelezwa jaydee akaamua kuwaangukia mahasimu wake(ruge na kusaga) ili waendelee kumsaidia kama ilivyokuwa mwanzo.

"Ni taarifa za kweli kabisa, wameshakaa kikao na jide akaomba asamehewe, wakati wowote kuanzia sasa mtasikia Nyimbo za Lady jaydee zikipigwa Clouds FM" kilisema chanzo hicho.

Tatizo lenu wahaya mnapenda sifa za kijinga hii habari imekaa kiumbea zaidi kwani ungeandika wameombana msamaha usingeleweka? Kwa akili yako unadhani mafanikio ya mziki hadi msanii apite kw Ruge
 
Mwanamuziki nguli wa bongo fleva na mmliki wa machozi band, Judith wambura aka lady jaydee ameonekana kusalimu amri kwa utawala wa radio clouds FM kutokana na kile kinachoelezwa kuwa ni kuyumba kibiashara katika muziki wake.

Kutokana na hali hiyo, ndipo ikaelezwa jaydee akaamua kuwaangukia mahasimu wake(ruge na kusaga) ili waendelee kumsaidia kama ilivyokuwa mwanzo.

"Ni taarifa za kweli kabisa, wameshakaa kikao na jide akaomba asamehewe, wakati wowote kuanzia sasa mtasikia Nyimbo za Lady jaydee zikipigwa Clouds FM" kilisema chanzo hicho.

Mawazo ya mtu mwenye fikra fupi na mtazamo finyu wa maisha. Usidhani watu wote ni wajinga kama ulivyo!
 
Tafiti zinaonyesha umaarufu na kipato cha Jide vimeongezeka tangu alivyogombana na clouds,followers weng kwenye page zake za fb,twitter nk wameongezeka.Pia redio nyingi za mikoan zinapiga sana nyimbo za jide.Pia kipind chake cha diary ya lady jde watazamaj wameongezeka sana baada ya ugomvi huu.

Jde hawez omba msamaha labda wapatanishwe.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mwanamuziki nguli wa bongo fleva na mmliki wa machozi band, Judith wambura aka lady jaydee ameonekana kusalimu amri kwa utawala wa radio clouds FM kutokana na kile kinachoelezwa kuwa ni kuyumba kibiashara katika muziki wake.

Kutokana na hali hiyo, ndipo ikaelezwa jaydee akaamua kuwaangukia mahasimu wake(ruge na kusaga) ili waendelee kumsaidia kama ilivyokuwa mwanzo.

"Ni taarifa za kweli kabisa, wameshakaa kikao na jide akaomba asamehewe, wakati wowote kuanzia sasa mtasikia Nyimbo za Lady jaydee zikipigwa Clouds FM" kilisema chanzo hicho.

Mnafki mkubwa ww
 
JIDE HANA JIPYA! AFADHALI mana hata GADNER aweza geuka MBASHA! agekuwamgei wa nani....hata mi nampongeza kaona mbali!
 
kuna kijigazeti flani hivi cha udaku chaitwa pilipili ndo front page yake ilikuwa na hiyo headline but kupitia vibe.co.tz jide amekanusha kuhusu hizo rumours

# u can fool some people for sometimes but u cant fool all the people in all times#
 
Huyu RUGE ana mambo ya kizaman sana utadhani sio boss..
Anapenda kuomba apatanishwe na maadui zake na akikutana na kupatanishwa nao ANATANGAZA KAOMBWA MSAMAHA,aliwaambia wasanii uchwara wake kuwa kamuhonga pesa SUGU ili afunge mdomo,wakat alienda kuwaomba akina Mbowe wampatanishe nae..

Hizi tabia za kike za kinafki sijui wanaume wenzangu wanaztoa wapi.?
 
Tafiti zinaonyesha umaarufu na kipato cha Jide vimeongezeka tangu alivyogombana na clouds,followers weng kwenye page zake za fb,twitter nk wameongezeka.Pia redio nyingi za mikoan zinapiga sana nyimbo za jide.Pia kipind chake cha diary ya lady jde watazamaj wameongezeka sana baada ya ugomvi huu.

Jde hawez omba msamaha labda wapatanishwe.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

huo unaitwa umaarufu kunuka tatizo show ndio msala
 
Mbona kuna tetesi kwamba Mawingu fm siku hizi hapo chini ya Kussaga ipo Chini ya Rostam,kwani Ruge ana power gani tena
 
Hawa jamaa ni wanafiki sana na ni moja kati ya syndicate inayoleta matatizo sana katika sanaa Bongo!Their predators who lives by scavenging wasanii nafikiri Jay dee kama ataomba msamaha atakuwa mjimga wa mwisho!Ruge hana llte he is mere mjinga flani hana status yyte zaidi ya kuwa papasi wa kuishi ktk migongo ya kina Kusaga!!!!

Sent from Banet Iphone!!
 
Kumpigia Magoti Mkurya yule hehehe labda kwenye Muvi na itauza sana lol !
 
Back
Top Bottom