miaka yote aliyokojozwa alimuona HB labda alikuwa anamaanisha kichwa cha chini watu hatujamuelewa !!!!!Ha ha ha hilo tofali kaliona leo watu jamani
Mpigapicha mwenye $300,000....Jide anashauriwa vibaya.Ajikite kwenye kazi yake,asishindane na Gardner,atambomoa ashuke hadhi yake,amuulize wema kashindana Diamond mwishowe kaangukia kwa mpiga picha.makelele hayalipi
Wewe si ndio tofali mwenyewe!!!?Ukitaka kujua kuwa mtu bado anakupenda na haja move on...ni kukuongelea ..kukupiga vidongo hadharan...jide plz grow up we ushakua ...achana na hilo janaume....yn unampa kiki bureeeee...
Ukitaka kujua kuwa mtu bado anakupenda na haja move on...ni kukuongelea ..kukupiga vidongo hadharan...jide plz grow up we ushakua ...achana na hilo janaume....yn unampa kiki bureeeee...
Thubutu! Azitoe wapi,mpaka kaamua kutafuta kazi ya kutangaza bila kusomeaMpigapicha mwenye $300,000....
khloe kardashian na utajiri wake wa takriban $11,000,000 lakini alipokuwa miami alikubali dili la kuwa mtangazaji....Thubutu! Azitoe wapi,mpaka kaamua kutafuta kazi ya kutangaza bila kusomea
Mkuu kwani ile sukari iliyoagizwa na kasimu majaliwa inakuja lin???Mkuu hujui tu ni jinsi gani umenitia uchungu kwa hili.
Wenzio tunakuja potezea stress za sukari huku wewe unakumbushia.
Mkuu habari yako.... Habari za masiku....khloe kardashian na utajiri wake wa takriban $11,000,000 lakini alipokuwa miami alikubali dili la kuwa mtangazaji....
Maisha ni vike unavyoamua na kugrab fursa......
Ila kibongobongo ukiwa na vijisenti basi ukae miguu juu
Umeshasema khlie ana utajiri wa dola 11 milioni,huo mshahara anaopata si wa kitoto,swali ni je mpiga picha anazo hizo dola laki tatu?mpaka kukubali mshahara wa laki sita,ujue ngoma iko golinikhloe kardashian na utajiri wake wa takriban $11,000,000 lakini alipokuwa miami alikubali dili la kuwa mtangazaji....
Maisha ni vike unavyoamua na kugrab fursa......
Ila kibongobongo ukiwa na vijisenti basi ukae miguu juu
Mzima umeadimika mnoMkuu habari yako.... Habari za masiku....
Ha ha wewe hapo nimemis makavu live....kule mmuMzima umeadimika mno
Ukitaka kujua kuwa mtu bado anakupenda na haja move on...ni kukuongelea ..kukupiga vidongo hadharan...jide plz grow up we ushakua ...achana na hilo janaume....yn unampa kiki bureeeee...