Lady Jaydee apiga dongo gizani "kichwa kama tofali"

Lady Jaydee apiga dongo gizani "kichwa kama tofali"

Jide anashauriwa vibaya.Ajikite kwenye kazi yake,asishindane na Gardner,atambomoa ashuke hadhi yake,amuulize wema kashindana Diamond mwishowe kaangukia kwa mpiga picha.makelele hayalipi
Mpigapicha mwenye $300,000....
 
We ndo team gardner,marioo@ jane Lowassa.
Kutwa kucha kulelewa na mishoga mamy!
Binti kama mwanaume?
 
Ukitaka kujua kuwa mtu bado anakupenda na haja move on...ni kukuongelea ..kukupiga vidongo hadharan...jide plz grow up we ushakua ...achana na hilo janaume....yn unampa kiki bureeeee...
Wewe si ndio tofali mwenyewe!!!?
 
Ukitaka kujua kuwa mtu bado anakupenda na haja move on...ni kukuongelea ..kukupiga vidongo hadharan...jide plz grow up we ushakua ...achana na hilo janaume....yn unampa kiki bureeeee...

Mkuu hawezi sasa, kwani "hakuna namna" tumuache tu maumivu yataisha polepole.
 
Mkuu hujui tu ni jinsi gani umenitia uchungu kwa hili.
Wenzio tunakuja potezea stress za sukari huku wewe unakumbushia.
Mkuu kwani ile sukari iliyoagizwa na kasimu majaliwa inakuja lin???

Huku kwetu chai ni anasa....
 
khloe kardashian na utajiri wake wa takriban $11,000,000 lakini alipokuwa miami alikubali dili la kuwa mtangazaji....

Maisha ni vike unavyoamua na kugrab fursa......

Ila kibongobongo ukiwa na vijisenti basi ukae miguu juu
Mkuu habari yako.... Habari za masiku....
 
khloe kardashian na utajiri wake wa takriban $11,000,000 lakini alipokuwa miami alikubali dili la kuwa mtangazaji....

Maisha ni vike unavyoamua na kugrab fursa......

Ila kibongobongo ukiwa na vijisenti basi ukae miguu juu
Umeshasema khlie ana utajiri wa dola 11 milioni,huo mshahara anaopata si wa kitoto,swali ni je mpiga picha anazo hizo dola laki tatu?mpaka kukubali mshahara wa laki sita,ujue ngoma iko golini
 
Bonge LA shooooooow ilikuwa live in 3hrs
 
Attachments

  • 1463894807131.jpg
    1463894807131.jpg
    23.9 KB · Views: 31
Ukitaka kujua kuwa mtu bado anakupenda na haja move on...ni kukuongelea ..kukupiga vidongo hadharan...jide plz grow up we ushakua ...achana na hilo janaume....yn unampa kiki bureeeee...

Teh teh teh....kumbe nawe unajiita tofali? Hahahaaa

Ila huyo naye ana nafasi ya kuweza kuongelea maumbile ya watu kweli?
 
Jidee Kavurugwaaa..Sasa MTU ulitaka kusema mwenzakee lazima Na wewe ujiangaliee kwanza.....zamani kama sio Jide kuvaa Skert..nilidhaniaga Dumeee!!
 
Back
Top Bottom