Kwa hiyo umenisamehe???Ha haaa
Eeh...Kwa hiyo umenisamehe???
Eeh...Kwa hiyo umenisamehe???
Na Mungu akikunyima busara elimu uliokuwa nayo bure....Unawezea ukawa na vyote hapa duniani, ila ukikosa busara ni sawa na hauna kitu: 0...
Unanikumbusha maandiko "watu hawa huniabudu bure kwa vinywa vyao hali mioyo yao iko mbali nami"Anakosoa Kazi Ya uumbaji? and then anategemea kudura apate Mtoto...
Watu Wakiambiwa There is No God wanabisha hadi mishipa inawatoka... lakini wanavyotenda kazi zao na matendo yao yanadhihirisha kabisa there is no God... Period
Hii ni Isidingo, the Need...no kwisha!Hii ligi natabiri haitaisha mapema.
hahahahahahahahahaahhaahahahah UMENENA VEMA PASIPO SHAKA YOYOTEUkitaka kujuwa ukweli mpenzi wako anakuonaje au anakuchukuliaje muonekano wako ni punde mnapo kuwa mmegombana mkatawaliwa na hasira hapo sasa utasikia ya moyoni kila litokalo kwenye kinywa ni la ukweli sema halishindwa kukwambia wakati mpo na furaha...
Utasikia muone kwanza mbaya kama nini najuta hata kwanini nilikuwa na wewe, jitu baya jeusi kama mkaa mfupi kama kimba, wakati ndiyo huyo huyo alikuita sweet, my candy, my wife/husband, my chocolate, honey nakupenda you are real beautiful,wow how handsome you are my husband napenda rangi yako , napenda ulivyo mfupi baby una kichwa kizuri mume wangu, mpenzi wangu wewe ni mrembo kuliko wanawake wote duniani kumbe upande wa pili usitake kujuwa subiri hasira zikija kwani wewe mwanamke gani miguu kama upinde, ndiyo mfano wa jide leo kichwa cha aliyekuwa mpenzi Wake kimekuwa tofali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu we acha tu, ni noumerhahahahahahahahahaahhaahahahah UMENENA VEMA PASIPO SHAKA YOYOTE
alafu bado anatafuta mchawi wa kwanini mimba hazishiki, ....mwili wa mawazo "emotions" ndio unaobeba mwili huu unaouona, kwa kifupi ndio sababu watu wengine wanakula na kulala vizuri lakini kila siku wapo kwa daktari.
Huo ni ukweli mtupu [emoji121][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Ukitaka kujuwa ukweli mpenzi wako anakuonaje au anakuchukuliaje muonekano wako ni punde mnapo kuwa mmegombana mkatawaliwa na hasira hapo sasa utasikia ya moyoni kila litokalo kwenye kinywa ni la ukweli sema halishindwa kukwambia wakati mpo na furaha...