Lady Jaydee apiga dongo gizani "kichwa kama tofali"

Anakosoa Kazi Ya uumbaji? and then anategemea kudura apate Mtoto...

Watu Wakiambiwa There is No God wanabisha hadi mishipa inawatoka... lakini wanavyotenda kazi zao na matendo yao yanadhihirisha kabisa there is no God... Period
Unanikumbusha maandiko "watu hawa huniabudu bure kwa vinywa vyao hali mioyo yao iko mbali nami"
 
Nina ushahidi kwa hili, i had an eyewitnesses on the broken relationship huwa siku zote yule mwenye maneno machafu, kejeli na mipasho kwa mwenzake yeye ndiyo ameumia na ana majeraha ya moyo baada ya uhusiano kuvunjika na bado unakuta ana mapenzi, sasa ili kutoa machungu ya moyoni nilazima utakuta anatumia nguvu nyingi sana kumtukana mwenzake, ndicho kinacho mtokea jide... But she is wasting her energy and time to attack Gadner
 
Ila kuachana na mtu ukaendelea kumfatilia ina maana bado unaye moyoni....
 
Hicho hicho kilimkojoza au kipindi hicho alikuwa anakivumilia hivyo hivyo?
 
Yaani nimecheka sana eti kichwa kama tofali khaa!!wanaweke wana maneno ya karaha.
 
Ukitaka kujuwa ukweli mpenzi wako anakuonaje au anakuchukuliaje muonekano wako ni punde mnapo kuwa mmegombana mkatawaliwa na hasira hapo sasa utasikia ya moyoni kila litokalo kwenye kinywa ni la ukweli sema halishindwa kukwambia wakati mpo na furaha...

Utasikia muone kwanza mbaya kama nini najuta hata kwanini nilikuwa na wewe, jitu baya jeusi kama mkaa mfupi kama kimba, wakati ndiyo huyo huyo alikuita sweet, my candy, my wife/husband, my chocolate, honey nakupenda you are real beautiful,wow how handsome you are my husband napenda rangi yako , napenda ulivyo mfupi baby una kichwa kizuri mume wangu, mpenzi wangu wewe ni mrembo kuliko wanawake wote duniani kumbe upande wa pili usitake kujuwa subiri hasira zikija kwani wewe mwanamke gani miguu kama upinde, ndiyo mfano wa jide leo kichwa cha aliyekuwa mpenzi Wake kimekuwa tofali
hahahahahahahahahaahhaahahahah UMENENA VEMA PASIPO SHAKA YOYOTE
 
alafu bado anatafuta mchawi wa kwanini mimba hazishiki, ....mwili wa mawazo "emotions" ndio unaobeba mwili huu unaouona, kwa kifupi ndio sababu watu wengine wanakula na kulala vizuri lakini kila siku wapo kwa daktari.
 
Alisha kulilia shida au kukuomba ushauri? Au ndio kuusemea moyo?
 
Ukitaka kujuwa ukweli mpenzi wako anakuonaje au anakuchukuliaje muonekano wako ni punde mnapo kuwa mmegombana mkatawaliwa na hasira hapo sasa utasikia ya moyoni kila litokalo kwenye kinywa ni la ukweli sema halishindwa kukwambia wakati mpo na furaha...

Utasikia muone kwanza mbaya kama nini najuta hata kwanini nilikuwa na wewe, jitu baya jeusi kama mkaa mfupi kama kimba, wakati ndiyo huyo huyo alikuita sweet, my candy, my wife/husband, my chocolate, honey nakupenda you are real beautiful,wow how handsome you are my husband napenda rangi yako , napenda ulivyo mfupi baby una kichwa kizuri mume wangu, mpenzi wangu wewe ni mrembo kuliko wanawake wote duniani kumbe upande wa pili usitake kujuwa subiri hasira zikija kwani wewe mwanamke gani miguu kama upinde, ndiyo mfano wa jide leo kichwa cha aliyekuwa mpenzi Wake kimekuwa tofali
Huo ni ukweli mtupu [emoji121][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
parhaps alikuwa anafurahisha jukwaa tu ukiangalia nature ya wimbo ila bongoland kila kitu kukilazimishia kiwe ni bifu ndo maana umasikini umewaganda kama kupe.
 
Back
Top Bottom