Lady Jaydee atua kwa mpiga ramli wa Kihindi

kende

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
3,527
Reaction score
1,668
Turn EATV now kwenye kipindi chake cha Diary,anamtabiria mambo mbalimbali ya maisha yake
 
Anatarajiwa kufunga NDOA 2017 , Atapata Pesa Nyingi sana Mwaka huu ila zikisimamiwa na Mwanaume , Pia Kuna Dalili ya kupata Mtoto Kubwa tu ! so ni swala la Muda tu Mpo ??
 
Anatarajiwa kufunga NDOA 2017 , Atapata Pesa Nyingi sana Mwaka huu ila zikisimamiwa na Mwanaume , Pia Kuna Dalili ya kupata Mtoto Kubwa tu ! so ni swala la Muda tu Mpo ??

Asante kwa kunisaidia
 
Wapiga ramli wanaanza lini kufuata amri ya serekali? Au inategeme aina ya wapiga ramli?
 
Jide anapenda san hizo mambo cjui msabato gani wa aina hii?
 
aisee,......huyo mhindi atapata wateja kuanzia sasa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…