Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana siamini hata kidogo
Anasema ila kuumwa huko hakutamuathiri sana kutokana na flow of money atayokuwa nayo
sasa si adi apate uyo mme wa kumsimamia mkwanja wake na aliambiwa bado kwenye maisha yake ya mapenzi aijakaa poa
Huyo mume atakuwa ni Gadner tunaandaliwa filamu mpya hapa.
Anatarajiwa kufunga NDOA 2017 , Atapata Pesa Nyingi sana Mwaka huu ila zikisimamiwa na Mwanaume , Pia Kuna Dalili ya kupata Mtoto Kubwa tu ! so ni swala la Muda tu Mpo ??
Na yalivyopangana sasa hayo mazuri utadhani ni marking scheme ya walokuwa wanauliza watu mitaani
Jide anapenda san hizo mambo cjui msabato gani wa aina hii?
si bure na kwa waganga kashatembea sana huyu dada, eti amuangalizie ataolewa lini, muhindi wa watu wala hakumchelewesha, mbele ya pesa akamwambia 2017 tena na mwanaume anayejitambua.
Anatarajiwa kufunga NDOA 2017 , Atapata Pesa Nyingi sana Mwaka huu ila zikisimamiwa na Mwanaume , Pia Kuna Dalili ya kupata Mtoto Kubwa tu ! so ni swala la Muda tu Mpo ??
mtu anaye amini mambo hayo hana tofauti na mshirikina ..hivyo jide ni mshirikina aliyekubuhu.
tena mshirikina mkubwa,hao waganga wanamdanganya, mimi ningemshauri tu ajirudishe kwa mungu mapemaa kabla haijawa too late
tena mshirikina mkubwa,hao waganga wanamdanganya, mimi ningemshauri tu ajirudishe kwa mungu mapemaa kabla haijawa too late
si bure na kwa waganga kashatembea sana huyu dada, eti amuangalizie ataolewa lini, muhindi wa watu wala hakumchelewesha, mbele ya pesa akamwambia 2017 tena na mwanaume anayejitambua.
wakati taifa linapiga vita wapiga ramli yeye anaendelea kuwapa ulaji!
Huyu jide ushirikina utammaliza kabisa!
ameshaisha,hana tija tena,sasa naona anaenda kwa waganga kutafuta nguvu mpya. Angekaa tu atulie asimamie miradi yakemaana muziki ndo ushamshinda, amebaki kuimba majungu tu kama taarab
Kwa mwendo huu hata anaye tamani kumuoa awezi kumuoa kabisa maana ataamini kuwa amerogwa!