Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
ananishawishi kuamini hata gadner alimpata kwa dawa, sio rahisi mtu amuache mkewe wa ndoa unajua
Hakika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ananishawishi kuamini hata gadner alimpata kwa dawa, sio rahisi mtu amuache mkewe wa ndoa unajua
Kwa mwendo huu hata anaye tamani kumuoa awezi kumuoa kabisa maana ataamini kuwa amerogwa!
hata aibu haoni kujitangaza kwa umma ndo nini afu hii ni mara ya pili anarusha kwa TV
Jide anapenda san hizo mambo cjui msabato gani wa aina hii?
kuna siku aliita mashehe kufanya mambo nyumbani pale... uliona?
niliiona nkabak kumshangaa sabato wa utotoni
HahahahahahahahaKuna siku nilichangia mada flani hivi inayohusu wasanii. Niliandika siri ya m.r n.i.c.e na c.h.a.m.e.l.e.o.n.e na huyu j.i.d.e walikuwa wanaenda ziwa victoria lakini kwa njia tofauti kabisa, yaani unapasua yai katika bahari then unaingia kwenye maji. Watu baadhi yao wakanikejeli sana. M.r n.i.c.e alikosea masharti, sasa sijui ndiyo yamemkuta yaliyomkuta!!! 😕😕😕
Ushirikina ni ujinga,afu eti huyo mpiga ramli yake alimuambia hatakufa mwaka huu...teh teh,Jide akafurahi mwenyewee,eti msabato uwiii
Hahahahahahahaha
Mkuu zinc umenichekesha sana hiyo ya kupasua yai katika ya ziwa ninacho jiuliza hivi umejuaje....daa dunia ina mambo sana.Mkuu nikuombe msamaha kama ulikwazika hata mie nilicheka na kutoamini kabisa maana hili jambo linashangaza na kuchekesha kabisa! Kwakweli Jide ameendelea kunishangazq
Cc warumi BADILI TABIA nifah Kim nana
Mimi pia nalikumbuka hilo na lilinishangaza sana ila niliogopa kuuliza maana jamaa aligeuka mbogo baada ya watu kumcheka na wengine kumdhihaki!
Kuna siku nilichangia mada flani hivi inayohusu wasanii. Niliandika siri ya m.r n.i.c.e na c.h.a.m.e.l.e.o.n.e na huyu j.i.d.e walikuwa wanaenda ziwa victoria lakini kwa njia tofauti kabisa, yaani unapasua yai katika bahari then unaingia kwenye maji. Watu baadhi yao wakanikejeli sana. M.r n.i.c.e alikosea masharti, sasa sijui ndiyo yamemkuta yaliyomkuta!!! 😕😕😕
Turn EATV now kwenye kipindi chake cha Diary,anamtabiria mambo mbalimbali ya maisha yake
Na wengi walikuwa wanauliza amejuaje? Duu hili la kupasua yai katikakati ya ziwa limenichekesha sana
Unajua nini Kiongozi, duniani hakuna siri hata kidogo. Mimi mwenyewe sikuamini lakini b.u.s.h.o.k.e ndiye alitoboa siri hiyo, huyo b.u.s.h.o.k.e alishangazwa na wadau wa muziki huko uganda walivyokuwa wanampenda kupitiliza huyo c.h.a.m.e.l.e.o.n.e. Hivyo akashauriwa na yeye afanye hivyo, alikataa akakimbia south Africa kwa muda akarudi bongo na kibao cha dunia njia then akakimbilia south Africa maana ilikuwa afe. Upo hapo???