Lady Jaydee atua kwa mpiga ramli wa Kihindi

maajabu hayataisha dunia hii ila hayana kiwango cha guinness book of records.
 
Ushirikina ni ujinga,afu eti huyo mpiga ramli yake alimuambia hatakufa mwaka huu...teh teh,Jide akafurahi mwenyewee,eti msabato uwiii
 
Kuna siku nilichangia mada flani hivi inayohusu wasanii. Niliandika siri ya m.r n.i.c.e na c.h.a.m.e.l.e.o.n.e na huyu j.i.d.e walikuwa wanaenda ziwa victoria lakini kwa njia tofauti kabisa, yaani unapasua yai katika bahari then unaingia kwenye maji. Watu baadhi yao wakanikejeli sana. M.r n.i.c.e alikosea masharti, sasa sijui ndiyo yamemkuta yaliyomkuta!!! 😕😕😕
 
Hahahahahahahaha
Mkuu zinc umenichekesha sana hiyo ya kupasua yai katika ya ziwa ninacho jiuliza hivi umejuaje....daa dunia ina mambo sana.Mkuu nikuombe msamaha kama ulikwazika hata mie nilicheka na kutoamini kabisa maana hili jambo linashangaza na kuchekesha kabisa! Kwakweli Jide ameendelea kunishangazq
Cc warumi BADILI TABIA nifah Kim nana [MENTION=24214 [USER=232575]Paula kilaki[/USER]
 
Last edited by a moderator:
Ushirikina ni ujinga,afu eti huyo mpiga ramli yake alimuambia hatakufa mwaka huu...teh teh,Jide akafurahi mwenyewee,eti msabato uwiii

Teh Teh sasa Jide ameanza kuchanganyikiwa kabisa kwa hiyo anamuamini kabisa huyo mpiga ramli kuliko Mungu?
 
Hahahahahahahaha
Mkuu zinc umenichekesha sana hiyo ya kupasua yai katika ya ziwa ninacho jiuliza hivi umejuaje....daa dunia ina mambo sana.Mkuu nikuombe msamaha kama ulikwazika hata mie nilicheka na kutoamini kabisa maana hili jambo linashangaza na kuchekesha kabisa! Kwakweli Jide ameendelea kunishangazq
Cc warumi BADILI TABIA nifah Kim nana

Mimi pia nalikumbuka hilo na lilinishangaza sana ila niliogopa kuuliza maana jamaa aligeuka mbogo baada ya watu kumcheka na wengine kumdhihaki!
 
Last edited by a moderator:
Mimi pia nalikumbuka hilo na lilinishangaza sana ila niliogopa kuuliza maana jamaa aligeuka mbogo baada ya watu kumcheka na wengine kumdhihaki!

Na wengi walikuwa wanauliza amejuaje? Duu hili la kupasua yai katikakati ya ziwa limenichekesha sana
 
Kuna siku nilichangia mada flani hivi inayohusu wasanii. Niliandika siri ya m.r n.i.c.e na c.h.a.m.e.l.e.o.n.e na huyu j.i.d.e walikuwa wanaenda ziwa victoria lakini kwa njia tofauti kabisa, yaani unapasua yai katika bahari then unaingia kwenye maji. Watu baadhi yao wakanikejeli sana. M.r n.i.c.e alikosea masharti, sasa sijui ndiyo yamemkuta yaliyomkuta!!! 😕😕😕

Sasa mkuu umejuaje haya yoteeee????
 
Na wengi walikuwa wanauliza amejuaje? Duu hili la kupasua yai katikakati ya ziwa limenichekesha sana

Unajua nini Kiongozi, duniani hakuna siri hata kidogo. Mimi mwenyewe sikuamini lakini b.u.s.h.o.k.e ndiye alitoboa siri hiyo, huyo b.u.s.h.o.k.e alishangazwa na wadau wa muziki huko uganda walivyokuwa wanampenda kupitiliza huyo c.h.a.m.e.l.e.o.n.e. Hivyo akashauriwa na yeye afanye hivyo, alikataa akakimbia south Africa kwa muda akarudi bongo na kibao cha dunia njia then akakimbilia south Africa maana ilikuwa afe. Upo hapo???
 
mkui zinc tafadhali hebu fungua uzi tujadili hii kitu maana naona kama ina mashiko kwa mbaaaliiii.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom