Lady Jaydee atua kwa mpiga ramli wa Kihindi

Mapenzi bwana!!! Ukishakua na mali tu kupata mapenzi ya kweli utasikilizia kwa wenzako.
 
jaman acheni uzush nliangalia kile kipindi chake ile ni sehemu tu yakuionyesha jamii uwepo wawatu kama hao
 
Anatarajiwa kufunga NDOA 2017 , Atapata Pesa Nyingi sana Mwaka huu ila zikisimamiwa na Mwanaume , Pia Kuna Dalili ya kupata Mtoto Kubwa tu ! so ni swala la Muda tu Mpo ??

yule mpiga ramli wa kuhindi kiboko
 
Jide anapenda san hizo mambo cjui msabato gani wa aina hii?

si bure na kwa waganga kashatembea sana huyu dada, eti amuangalizie ataolewa lini, muhindi wa watu wala hakumchelewesha, mbele ya pesa akamwambia 2017 tena na mwanaume anayejitambua.
 
Mtu anaye amini mambo hayo hana tofauti na mshirikina ..hivyo Jide ni mshirikina aliyekubuhu.
 
Anatarajiwa kufunga NDOA 2017 , Atapata Pesa Nyingi sana Mwaka huu ila zikisimamiwa na Mwanaume , Pia Kuna Dalili ya kupata Mtoto Kubwa tu ! so ni swala la Muda tu Mpo ??

AONGEZE BIDII ILA TU AKUMBUKE KWAMBA mUNGU TU NDIE ANA UWEZO WA KUJUA HATMA YA MAISHA YA MWANADAMUHAO WAPIGA RAMLI SINA IMANI NAO KIUKWELI
 
tena mshirikina mkubwa,hao waganga wanamdanganya, mimi ningemshauri tu ajirudishe kwa mungu mapemaa kabla haijawa too late

Wakati taifa linapiga vita wapiga ramli yeye anaendelea kuwapa ulaji!
Huyu Jide ushirikina utammaliza kabisa!
 
tena mshirikina mkubwa,hao waganga wanamdanganya, mimi ningemshauri tu ajirudishe kwa mungu mapemaa kabla haijawa too late

Tatizo ni kwamba yeye ana amini kwenye wapiga ramli uwezi kumshawishi kuamini kwingine!
 
si bure na kwa waganga kashatembea sana huyu dada, eti amuangalizie ataolewa lini, muhindi wa watu wala hakumchelewesha, mbele ya pesa akamwambia 2017 tena na mwanaume anayejitambua.

Kwa mwendo huu hata anaye tamani kumuoa awezi kumuoa kabisa maana ataamini kuwa amerogwa!
 
wakati taifa linapiga vita wapiga ramli yeye anaendelea kuwapa ulaji!
Huyu jide ushirikina utammaliza kabisa!

ameshaisha,hana tija tena,sasa naona anaenda kwa waganga kutafuta nguvu mpya. Angekaa tu atulie asimamie miradi yakemaana muziki ndo ushamshinda, amebaki kuimba majungu tu kama taarab
 
Kukimbilia kwenye ramli ni ishara ya kuishiwa na kukata tamaa hakika hata mziki wake huwa anaupeleka kwa Waganga!
 
Back
Top Bottom